Kumbe alichukua mke wako pale Makabulini kinondoni au Corner Bar??//Kwa mfumo huo naweza kukubali hiyo tabia yenu .Kwa sasabu kila mtu anaweza kumpa sasa huyo si ni CD aka Changudoa?//
Kuna watu wameumbwa bila chembe ya wivu. Huyu na mkewe ni aina hiyo ya watu. Yaani mke akirudi kwenye viwanja alivyotembelea anamweleza mumewe jinsi alivyokamuliwa na mlevi. Jamani mume si utazimia hapohapo? Na mke naye anasikiliza stori za mumewe alivyomviringisha baa meidi. Hii ni roho ngumu au roho mfu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.