Kila mabadiliko mazuri huanza kama kuanguka kwa domino

Kila mabadiliko mazuri huanza kama kuanguka kwa domino

LugaMika

Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
38
Reaction score
53
Maana yake ni kwamba ili uwe na mafanikio makubwa sana lazima uanze na uhodari kiasi na uwe nao kwa muda .

Huenda watu hupokea vitu fulani kwa ubaya ndio maana vinawatesa.

Nilitamani sana kujua kwanini Hayati John Magufuri alipenda sana kuwakumbuka wanyonge.

Ila jibu nikalipata ni ★★★★★"Wakati unamuona mtu ambaye ana maarifa mengi, amejifunza hayo kwa muda.

Wakati unamuona mtu ambaye ana ujuzi mwingi, wameutengeneza kwa muda.

Wakati unamuona mtu ambaye amefanya mengi, wamefanikisha hivyo kwa muda. Wakati unamuona mtu ambaye anapenda sana wanyonge ,ameuchukia sana umasikini wao kwa mudasasa"★★★★★.

Nami nadhani kuna ja kujifunza Inakupasa ujue adui yako ni nani na je ! Wewe ni sahihi au utumie njia gani kuweza kuwaondolea adhima mbaya.

Pia★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Inaendelea
 
Back
Top Bottom