Watanzania wengi sana wanaumwa ugonjwa wa kisukari.
Ikumbukwe tu kuwa, watu wanapopata msongo wa mawazo / frustrations / stress ama matatizo makubwa sana ya kimawazo, humsababishia kuwaza kwa kiwango kikubwa sana bila kupata majibu… hasa mtu anapokuwa hana mtu wa kushare nae.
Matatizo ambayo hupelekea huko ni kama changamoto za kazini, mahusiano / ndoa, magonjwa , biashara, siasa, kukata tamaa ya maisha n.k!