Kila mahali ulipo kuna mgonjwa wa kisukari ama pressure !

Kila mahali ulipo kuna mgonjwa wa kisukari ama pressure !

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Watanzania wengi sana wanaumwa ugonjwa wa kisukari.

Ikumbukwe tu kuwa, watu wanapopata msongo wa mawazo / frustrations / stress ama matatizo makubwa sana ya kimawazo, humsababishia kuwaza kwa kiwango kikubwa sana bila kupata majibu… hasa mtu anapokuwa hana mtu wa kushare nae.

Matatizo ambayo hupelekea huko ni kama changamoto za kazini, mahusiano / ndoa, magonjwa , biashara, siasa, kukata tamaa ya maisha n.k!

Tufanyeje ili tuepuke ugonjwa huu ?
 
Chanzo kikubwa cha kisukari ulaji m'bovu
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Tujitahidi kula mlo kamili ulio bora na kufanya mazoezi
 
Kuna kisukari cha aina mbili, type 1diabetes mellitus na type 2 diabetes mellitus.

Type one huzaliwa nacho ni matatizo ya genetics na huanza kwenye teen age. Hii hutegemea insulin kwani mwili hushindwa kuzalisha insulin yake.

Type 2 ni mara nyingi ni matatizo ya dunia. Utahitaji insulin lakini inaweza kuwa controlled na changes of lifestyle. Chakula na mazoezi.
 
Back
Top Bottom