kila Man U wakifungwa ni kosa la refa?

kila Man U wakifungwa ni kosa la refa?

Jana Liverpool wamepewa penati watu wako kimya ila ingekuwa MANU zingeanzishwa thread zaidi ya 5
 
huyu mzee fergie (SAF) ndo maana makocha na marefu wengi humuita AYATOLLAH. he likes bulling refs ! i think its high time this man hangs up his boots..! PERIOD!
 
huyu mzee fergie (SAF) ndo maana makocha na marefu wengi humuita AYATOLLAH. he likes bulling refs ! i think its high time this man hangs up his boots..! PERIOD!
Mkubwa sasa kama anawaponda marefa ,mbona hao marefa unasema wanampendelea?
 
Man Utd wakae kimya wamebebwa sana na marefarii hebu angalinieni hili goli la Pedro Mendes wakati akiwa Tottenham

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=U-8dOjeVC80[/ame]

Refarii alilikataa ingawa Roy Carol aliutoa mpira mita 2 ndani ya nyavu!
 
Makocha wengi duniani(Ulaya hadi TZ) ukifungwa lazima alalamike sio SAF peke yake, Chelsea wenyee mwaka jana CL na Barca walimzonga refa utadhani nini, Asernal walipofungwa na Man Wenger alilalamika vilevile, Liverpool mara kibao wanalalamika tu wakifungwa, Man city vs Man walilalamika vilevile. Ila ukweli marefa wengi wa England wamezeeka hawaendani na kasi ya mpira na SAF alishasema hilo na hili linaziathiri timu zote sio man pekee yao, kwa mfano asernal na man refa hakuenda na kasi ya mpira ndo maana wanatoa maamuzi ya ajabu tu.
 
Enyi Man U Stop talking (What goes around comes around) Nyie hadi OT mnapaita Machinjio kwamba hatoki mtu na kweli tunaona manake pale ni Punda augue mzigo wa bwana ufike. Leo fletcher kaja na yake (Fletcher: It's Arsene's fault..... DARREN FLETCHER says he is being punished by referees because of Arsene Wenger's comments about him in September.
The Manchester United ace was penalised by Martin Atkinson for the free-kick which led to Chelsea's goal on Sunday.
He rapped: "We are starting to see Mr Wenger's comments beginning to influence referees which is a shame."
Arsenal boss Wenger accused United of playing 'anti-football' after his team lost at Old Trafford earlier in the season.
And he said one player was constantly fouling but getting away with it. That was widely assumed to be Fletcher - even though Wenger did not name names.)

Ndio mjue kuwa sio Babu Fergie pekee bali ni Man wote kocha wachezaji mashabiki tena kitanzania ndo balaa. Mtajiju Bundi keshaingia huyo na Liverpool wenu
 
huyu mzee fergie (SAF) ndo maana makocha na marefu wengi humuita AYATOLLAH. he likes bulling refs ! i think its high time this man hangs up his boots..! PERIOD!

Yani kocha ambaye amechukua ubingwa kwa miaka 3 mfululizo unasema astaafu kisa kalalamikia uamuzi wa refa, Are you kidding me?
 
Banitez amekiri kwamba Liverpool hawakustahili penati na anasikitika kwamba refa aliwabeba.
 
Back
Top Bottom