Makocha wengi duniani(Ulaya hadi TZ) ukifungwa lazima alalamike sio SAF peke yake, Chelsea wenyee mwaka jana CL na Barca walimzonga refa utadhani nini, Asernal walipofungwa na Man Wenger alilalamika vilevile, Liverpool mara kibao wanalalamika tu wakifungwa, Man city vs Man walilalamika vilevile. Ila ukweli marefa wengi wa England wamezeeka hawaendani na kasi ya mpira na SAF alishasema hilo na hili linaziathiri timu zote sio man pekee yao, kwa mfano asernal na man refa hakuenda na kasi ya mpira ndo maana wanatoa maamuzi ya ajabu tu.