Pre GE2025 Kila mbunge aliyeshiriki kupitisha mkataba wa bandari zetu atupishe 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tumepigwa na kitu kizito....
By Misso Missondo!
 
Una maana wabunge waliowekwa na Magufuli wote watoke?
Ni jambo jema sn hilo, waende wakafagie kaburi la aliyewapa huo ubunge
 

Uko sahihi
 
FANYA HIVI TENGENEZA MLANGO AMBAO MASIKINI ALIYOKONDA ANAWEZA KUPITA ALAFU WASHITUKIE GAFLA WAKIPITA HAPO UTANISIFU
 
Una maana wabunge waliowekwa na Magufuli wote watoke?
Ni jambo jema sn hilo, waende wakafagie kaburi la aliyewapa huo ubunge
Hayo ni mawazo yako na mtazamo wako!
Topic zangu huwa sio muumini wa upumbavu bali huwa ni muumini wa facts bila "VISASI"mambo ya visasi nimewaachia watumbuliwa na wa vyeti fake kwa hiyo tafadhali usinilishe maneno.
Kama una yako moyoni vema ufunguwe thread yako na wanaokusapoti watakuja huko mkuu!
 
Hivi dola bado.wanafanya homework hawajapata mwafaka!!?

Zile gaberon.room numbers wakikaa wanajadili.nini!!?

Mbona mambo yapo wazi kabisa !!?now Tanzania is failed state chini ya hii awamu!!!?
 
Akili za kimaskini ndio hizi. Kumbuka kuwa bandari zote tulizonazo zitaingia mikataba na hao DP World ni wa kwanza tu.

Hapo hapo TPA kuna mhindi anaanza kuendesha mwezi wa tano DP World ataanza mwezi wa saba na hapo hatujaongelea tender itakayotolewa kwa ajili ya kuendesha bandari ya Bagamoyo na ile ya Tanga pamoja na zile za kusini mwa Tanzania.

SSH anatazama mbele siku zote na upeo wake unaoona mbali unashauriwa na wataalam wabobezi kwenye masuala mengi yenye uhusiano na uchumi wa nchi.
 
Wakati unahangaika na masuala ya IGA ambayo huyaelewi vizuri TPA imeingia mkataba mwingine wa kuendesha sehemu ya bandari ya Dar pia kuna mwendeshaji mwingine ataendesha bandari ya Bagamoyo.

Fikra za kijamaa zimeshapitwa na wakati ni lazima tujifunze kuitazama dunia katika mtazamo wa ushindani kuliko ule wa mazoea ya miaka yote.
 
Wakati ukiendelea kulia usichokifahamu TPA itakuwa na waendeshaji watatu, DP World, Mdosi na wao wenyewe.

Hapo hatujaongelea bagamoyo, Tanga na kule Mtwara, Tufike mahali tuondokane na kukariri kitu tusichokifahamu.
 
Hapa ndipo unapogundua Mungu asipoingilia kati, basi hakuna Cha nchi wala raia ni maslahi ya watu binafsi...Inaumiza sana
 
Tatizo chadema ya wachaga inanunulika tofauti na chadema ya Dk Slaa
Mchaga haachi hela kwa namna yoyote. Tunashukuru ingawa mangi mareale alitangulia un kuomba Uhuru wa Tanganyika before NYERERE Mana walimuona huyu jamaa sio. Na alivyo dada na sasa na usomi wao aliomba kaskazini pekee yaani mawaazo yao Ni kabila na bado hukohuko wanabaguana Mara huyu wa rombo or machame.
 
Ni wasi hi bandari imekwendaa na taayari wafanyakazi wamesha ambiwa. Kukubaliana na muekezaji mpya
 
Ndoto za alinacha. Kwa taarifa yako Musukuma ambaye ndo alikuwa dalali namba moja Wa DPw atashinda subuhiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…