Pre GE2025 Kila mbunge aliyeshiriki kupitisha mkataba wa bandari zetu atupishe 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakati ukiendelea kulia usichokifahamu TPA itakuwa na waendeshaji watatu, DP World, Mdosi na wao wenyewe.

Hapo hatujaongelea bagamoyo, Tanga na kule Mtwara, Tufike mahali tuondokane na kukariri kitu tusichokifahamu.
Una kelele nyingi sana, uliwahi kuisoma ile IGA na kuzielewa terms zake?

Simply wewe ni msukule wa kina Pr. Mbarawa unayesubiri kulishwa pumba mpaka ushibe.
 
Huu ni ukweli na mchungu kwa "Waheshimiwa" ambao waligeuka "Waishiwa" wa "Hoja" na wakaamua kukifia"Chama Cha Maslahi" CCM na kuridhia uuzwaji wa Bandari zetu nchini.kwa bei ya bure kumpatia Mwarabu.

Ingawa ninajua kiuhalisia ni kwamba kuna viongozi wakubwa kitaifa ambao wameneemeka na wataendelea kuneemeka na vizazi vyao.kutokana na mkataba huu mbovu.Pia kuna ma-chawa kina Maulid kitenge,Mwijaku na Baba Revo kwa mfano wa haraka na wa wazi.

Lakini niseme tu kwa uwazi.....
kama watanzania tungejitafuta na kujitambua!
Kama sio kuiondoa
CCM- Maslahi basi walau wabunge wake kwa 75% warudishwe majumbani na kupisha kizazi kipya cha Bunge.

Hii itatoa fundisho kwa wabunge kuwa wanajitambua majukumu yao pale wanapochaguliwa
Wanakwenda kujiwakilisha wao na matumbo yao Badala ya kwenda kuwawakilisha wapiga kura waliowapigia kura huko majimboni.

Ingawa hata upinzani pia tumeyaona madudu mengi ila kwa sasa naongelea Waliouza bandari zetu kwanza watupishe kama taifa.

Pia soma hii

Kuna kila shaka wabunge walihongwa kuanzia speaker wao. Walifanya kitu kinyume kabisa na maslahi ya taifa. Walipitisha kama sheria mkataba mbaya haijawahi kutokea tanzania. Kwa kweli hawastahili kabisa kurudi bungeni.
La ajabu watu wa ovyo kabisa kuhusu taaluma ya usafiri na miundombinu yake akina kitenge, baba revo, steve nyerere et al eti ndio wakepewa kupromote kukabidhiwa DP bandari zetu waendeshe kama mali yao.
Walaaniwe kabisa.
 
Siku CCM ikiondoka madarakani,

Ndio utakuwa mwisho wa mikataba ya kimaslah Kwa viongozi wanufaikao kutokana na deals walizopiga wakiwa viongozi.

Nadhani suluhu inajulikana hapo.

CCM must go!!
 
Huu ni ukweli na mchungu kwa "Waheshimiwa" ambao waligeuka "Waishiwa" wa "Hoja" na wakaamua kukifia"Chama Cha Maslahi" CCM na kuridhia uuzwaji wa Bandari zetu nchini.kwa bei ya bure kumpatia Mwarabu.

Ingawa ninajua kiuhalisia ni kwamba kuna viongozi wakubwa kitaifa ambao wameneemeka na wataendelea kuneemeka na vizazi vyao.kutokana na mkataba huu mbovu.Pia kuna ma-chawa kina Maulid kitenge,Mwijaku na Baba Revo kwa mfano wa haraka na wa wazi.

Lakini niseme tu kwa uwazi.....
kama watanzania tungejitafuta na kujitambua!
Kama sio kuiondoa
CCM- Maslahi basi walau wabunge wake kwa 75% warudishwe majumbani na kupisha kizazi kipya cha Bunge.

Hii itatoa fundisho kwa wabunge kuwa wanajitambua majukumu yao pale wanapochaguliwa
Wanakwenda kujiwakilisha wao na matumbo yao Badala ya kwenda kuwawakilisha wapiga kura waliowapigia kura huko majimboni.

Ingawa hata upinzani pia tumeyaona madudu mengi ila kwa sasa naongelea Waliouza bandari zetu kwanza watupishe kama taifa.

Pia soma hii

Sasa mbona ni wote? Na kwa taarida yako sasa chama chako.
Kitawapitisha wote bila kupingwa
 
Una kelele nyingi sana, uliwahi kuisoma ile IGA na kuzielewa terms zake?

Simply wewe ni msukule wa kina Pr. Mbarawa unayesubiri kulishwa pumba mpaka ushibe.
Hujui kitu kuhusu hiyo IGA uliyoisoma, Bandari inakwenda kuwa na waendeshaji wengi ili tija iongezeke, utazisoma IGA ngapi na kuzikosoa? kwani kila mkataba mpya utakuwa na IGA inayojitegemea.

Tatizo mnalishwa matango pori na baadhi ya viongozi wa dini wenye hisia za ajabu juu ya uendeshaji wa DP World vitu ambavyo hawana uwezo wa kuweka ushahidi wake hadharani, ni chuki tu za uislam wa Samia zinazosumbua baadhi ya vichwa vya watu.
 
Mjinga nakuuliza tena, umewahi kuzisoma terms za kwenye IGA?
 
Mjinga ni wewe usiyejua hizo terms na mipaka yake. Kuna tajiri mwingine mdosi anapewa magati namba tisa mpaka kumi na moja, unajua terms zilizopo kwenye IGA ya mkataba wake zimekaa vip?.

Endelea kukomaza fuvu wakati ulilonalo ni debe tupu.
 
Back
Top Bottom