Kila mchezaji wa Dodoma Jiji kulamba Milioni 5 endapo wakimfunga Simba leo

Kila mchezaji wa Dodoma Jiji kulamba Milioni 5 endapo wakimfunga Simba leo

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
MILIONI 5 KILA MCHEZAJI

Taarifa za hivi punde Vigogo wa klabu ya Dodoma Jiji wakishirikiana na wadau wa karibu wameweka mezani bahasha ya motisha katika timu yao ili ifanye vizuri leo dhidi Simba .

Naambiwa hapa kuna ahadi ya kila mchezaji kupata Sh Milioni 5 kama watashinda leo dhidi ya Mnyama.
 
Upuuzi Kisa Wanacheza Na Simba
Siku Zote Dodoma Inapigwa Na Timu Nyingine
Mbona Hawatoi Motisha
 
MILIONI 5 KILA MCHEZAJI

Taarifa za hivi punde Vigogo wa klabu ya Dodoma Jiji wakishirikiana na wadau wa karibu wameweka mezani bahasha ya motisha katika timu yao ili ifanye vizuri leo dhidi Simba .

Naambiwa hapa kuna ahadi ya kila mchezaji kupata Sh Milioni 5 kama watashinda leo dhidi ya Mnyama.
Ni mtaji kabisa wa duka la dawa
 
Ajabu ahadi zenu zote huja tu pale mnakutana na Simba!
Mbona hatusikii ahadi za aina hiyo mnapokutana na timu Uto?
 
Hii taarifa haina ukweli.
Naomba uthibitisho mtoa mada.
kama hauna.

usiandike vitu ambavyo hamna uthibitisho navyo.
 
Back
Top Bottom