Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Una mimba ya GSM?Leo tunataka tuone Ntenje atacheza namba mbili?
Tutaangalia utofauti na kikosi kilichocheza dhidi ya Yanga.
Hapana,nina mimba ya mama ako!Una mimba ya GSM?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana,nina mimba ya mama ako!
Ni mtaji kabisa wa duka la dawaMILIONI 5 KILA MCHEZAJI
Taarifa za hivi punde Vigogo wa klabu ya Dodoma Jiji wakishirikiana na wadau wa karibu wameweka mezani bahasha ya motisha katika timu yao ili ifanye vizuri leo dhidi Simba .
Naambiwa hapa kuna ahadi ya kila mchezaji kupata Sh Milioni 5 kama watashinda leo dhidi ya Mnyama.