Kila mchuma janga hula na wakwao kisa cha kijana mbishi!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Hiki ni kisa cha kijana mmoja mbishi kilitokea miaka ya 2008,
Kijana alitokewa na bahati ya kupata shangazi mpaka baadhi ya vijana wengine walifikiri kwanini zari halikuwaangukia wao .......
Katika shughuli zake za ukatishaji tiketi.

Wakaanzisha uhusiano kijana akapewa kila alichohitaji kwanza alitekenya anunuliwe pikipiki shangazi akanunua zile baja kubwa zenye taa mbili 250 akamuhonga kijana.
Kijana akasema sina nguo..... akapelekwa south africa kupigwa shopping....
kijana akaona amepata akamchukua shangazi mpaka home kuwaonyesha wazazi ..
ile kufika tu bi mkubwa ana jicho la tatu akamcheki mkwe alipoondoka akamwambia kijana wake hapo hakuna mke kifupi simtaki,...
Tafuta mwingine......kijana hakuridhika maneno ya mama yake...

Shangazi miaka miwili nyuma alifiwa na mumewe aliyekuwa mkurugenzi wa moja ya viwanda vya kuzalisha malighafi za ujenzi kifupi mama alikuwa na ukwasi wa kutisha......kijana akapangiwa nyumba nzima akaamuwa kuondoka kwao...shangazi akawa anatoka kule kwake anakwenda kujifungia kwa kijana baada ya miezi kama sita kijana akaanza kuonekana mabega yanapanda na kukonda akasingizia stress na kukatalia kwa asali ya moyo na wazazi kijana akaporomoka afya mpaka ikafikia familia kumrudisha nyumbani alipata ukimwi!......mawasiliano yakafa na shangazi ......

Siku moja shangazi akapita maeneo ya maskani ya kijana akawasalimia shemeji zake ... akaambiwa unajua kijana mwenzetu aliumwa mpaka kurukwa na akili.....shangazi akajibu najua sana ila kila mchuma majanga hula na wakwao mpeni pole.....jamaa walimaindi sana ila walishindwa kumwambia......!
Vijana wacheni tamaa sikilizeni wazazi.....baadhi ya mashangazi ni mabomu yanayotembea!
 
Mshahara wa dhambi ni......
 
Back
Top Bottom