youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,319
- 3,097
Kwa lugha ya mtaani personal brand ni kama yule dalali ambaye anajulikana mji mzima. Na kila mtu ana namba yake.
Lakini kwa online ni tofauti kabisa!
👇👇👇Tuangalie hapa
Huku online ukisema personal brand inamaana ni kuwa na authority katika social media flani. Au kuwa na Audience katika media flani
Mfano kuna mtu anaamua kujenga brand yake kupitia insta, x, youtube, LinkedIn, tiktok. Kupitia hizo social media Anatengeneza personal brand
Hiyo brand inakuwa ni alama yake na watu wanamtambua kwa hiyo alama
Personal brand inakuwa na
1. Jina
2. Tune au aina ya uawasilishaji
3. Niche
4. Logo/ nembo/ template
Mfano ukiingia leo Instagram kuna account utaziona tu hata bila kusoma unajua hii ni ya nani (Personal brand)
Ukiingia youtube, kuna channel zinajitokeza kwenye dashboard bila hata kusikiliza unajua huyu ni mtu flani.
Nikiingia LinkedIn au x kuna aina ya uandishi nikiona tu najua huyu ni mtu flani. Hata tiktok Personal brand must have something unique.
Kuna faida gani kwenye personal brand
1. Kufanya wateja Audience wako wakukalili na kukuamini
2. Inakusaidia kutengeneza jeshi lako la online
3. Ni business card yako
4. Ni portfolio yako
5. Ni asset
6. Ni duka lako
7. Ni business model
Jinsi ya Kuandaa personal brand yako. Kwanza personal brand inaweza ikawa ya mtu binafsi au kampuni au taasisi.
Nitaongelea kwa mtu binafsi anayeanza kujitafuta.
Kwanza chagua niche yako
Pili chagua media za kutumia
Tatu waelewe vizuri Audience wako
Mwisho chagua alama zako au nembo Ambazo ni Rangi, logo, templates, tune, ukiweza sauti.
Zingatia neno personal brand Lazima uwe tofauti na watu wengine.
Kuna watu wamepata brand kubwa online kwa kufanya vitu vya kawaida ina kwasababu ni very unique wamepata audience kubwa.
"You can only build a personal brand if you either educate people or intertain people"
Do that everyday
Be real
Provide value
Share your journey
Watu wakikuona unaanzia chini na kukua wanakupa support zaidi kuliko yule waliyemuona ghafla.
Kabla hujaanza jiulize haya maswali
Who is your niche?
What do you want to achieve?
Where will you find Audience?
Unahitaji kuwa na personal brand yako