Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Duh, apewe kombe la duniaBoss wangu juzi kaniambia amefikisha wanawake wanaojaa mabasi 4 ya Dar lux level seat, juzi kaanza basi la 5.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, apewe kombe la duniaBoss wangu juzi kaniambia amefikisha wanawake wanaojaa mabasi 4 ya Dar lux level seat, juzi kaanza basi la 5.
Ndio ndio...... Ukiniuliza mwisho wa tatu lakini lililopo kichwani mungu anajuaHii ni siri ya kambi
Mwisho wa 5 tu [emoji23][emoji23][emoji23]
nimejipangaBaby we wa 41 usijali nakupenda sana
HeeeeHabari wana JF,
Kwa mwanamke au mwanaume yeyote kuna nyakati tunakaa na kuanza kuhesabu wapenzi ambao tekuwa na mahusiano nao. Na kuna nyakati tunawaza kuwa ni wangapi wameshaoa au kuolewa mpaka sasa (Yaani wangapi umeshaozesha) [emoji23],,,Alafu kuna huwa kuna yule mpenzi ambaye huwa unajilaumu sana kuachana naye...
Binafsi nimeshakuwa na wapenzi 30 mpaka leo, nimeshaozesha watatu (3),,,Kati ya hao wawili nimejuta sana kuachana nao ambao wameshaolewa tayari...mmoja nilimpenda sana mpaka nikatamani turudiane nimuoe ila akakataa kabisaaa...kwasasa nina mmoja ninampenda sana nawaza kumuweka ndani kabisaa maana umri nao umefika.
We mdau list yako ikoje?,,,fungukaaa
[emoji3][emoji3]My god na bado ipo au ina sijida kwa sasa
Safi kabisa, kwanza mwenyew si umejionea ni kama vile we ndo wa pili...... Usijali hao wote hawajapitia yaliyomo kipenzinimejipanga
kuna watu wana 700+Habari wana JF,