kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Simba wametoka level hizo. Simba wamefungwa game 2 mfululizo na Prison na Ruvu Shooting lakini hatukusikia malalamiko zaidi ya mashabiki kulaumu Bench la ufundi.Hz timu za simba na yanga zikitaka kujua kama huwa zinaonewa au la zisiishie kulalamikia makosa ya marefa yanayofanywa zidi yao tu, n vyema wakatazama kwa mechi zote mpk zinazokarbia kushuka daraja. Hv n kwel waamuzi huwa wanakosea mechi za simba n yanga tu au na timu nyingne km ihefu,gwambina,jkt,mbeya city n.k. Nafikiri wachambuzi wa soka na wanahabari n vyema mkaandaa makosa yote yaliyofanywa na marefa wote kwa kila mechi msimu mzma na kufanya uchambuzi wa kwa kutumia hzo takwimu tuone kwa msimu mzma Simba na Yanga walibebwa na kuonewa kiasi gan pia na timu ndogo zilionewa mara ngapi. Coz leo Yanga analalamika sababu kaonewa lakini akiwa favoured hakosoi, hivyohivyo kwa simba akionewa kelele nyingi ila akibebwa wanakaa kimyaaa.
Kuna hatari ya watu kulambishwa sukari hadi tumbo ziumuke.Mtibwa Sugar wasituangushe tukopamoja nao.
Sukari lazima ikolezwe utamu hadi wajitoe kwenye ligiMtibwa Sugar wasituangushe tukopamoja nao.
Yaani huyu kilo 800 Mungu anamuona anavyowageuza mashabiki wa Utopolo kama chapatiHawa utopolo hasa yule kilo 800 ni wapumbavu sana, yaani wanaitisha press conference kutishia kufanya vurugu viwanjani kama refa hatawapendelea
Wanatia aibu kweli, ule ushindi wa Kinshasa umewavuruga kisaikolojia
Morrison endeleza ushwahiba na nyavu hadi hawa mbwa koko wajitoe kwenye ligiMtaitisha press conference ngapi mwaka huu?
Ni akili kutishia kujitoa kwa sababu Morrison amefunga?
Hivi huwa mbafuatilia ni makosa mangapi hufanywa na waamuzi mechi za wengine au mnadeka watu wazima?