Kila Morrison akifunga, Yanga wanaitisha press conference

Hawa utopolo hasa yule kilo 800 ni wapumbavu sana, yaani wanaitisha press conference kutishia kufanya vurugu viwanjani kama refa hatawapendelea

Wanatia aibu kweli, ule ushindi wa Kinshasa umewavuruga kisaikolojia
 
Hivi hatuwezi kubadidili team ya kuwa Watani wa Jadi, tunakuaje na utani na watu vilaza hivi
 
Hz timu za simba na yanga zikitaka kujua kama huwa zinaonewa au la zisiishie kulalamikia makosa ya marefa yanayofanywa zidi yao tu, n vyema wakatazama kwa mechi zote mpk zinazokarbia kushuka daraja. Hv n kwel waamuzi huwa wanakosea mechi za simba n yanga tu au na timu nyingne km ihefu,gwambina,jkt,mbeya city n.k. Nafikiri wachambuzi wa soka na wanahabari n vyema mkaandaa makosa yote yaliyofanywa na marefa wote kwa kila mechi msimu mzma na kufanya uchambuzi wa kwa kutumia hzo takwimu tuone kwa msimu mzma Simba na Yanga walibebwa na kuonewa kiasi gan pia na timu ndogo zilionewa mara ngapi. Coz leo Yanga analalamika sababu kaonewa lakini akiwa favoured hakosoi, hivyohivyo kwa simba akionewa kelele nyingi ila akibebwa wanakaa kimyaaa.
 
Simba wametoka level hizo. Simba wamefungwa game 2 mfululizo na Prison na Ruvu Shooting lakini hatukusikia malalamiko zaidi ya mashabiki kulaumu Bench la ufundi.
 
Hawa utopolo hasa yule kilo 800 ni wapumbavu sana, yaani wanaitisha press conference kutishia kufanya vurugu viwanjani kama refa hatawapendelea

Wanatia aibu kweli, ule ushindi wa Kinshasa umewavuruga kisaikolojia
Yaani huyu kilo 800 Mungu anamuona anavyowageuza mashabiki wa Utopolo kama chapati
FB_IMG_1613765268013.jpg
 
Mtaitisha press conference ngapi mwaka huu?

Ni akili kutishia kujitoa kwa sababu Morrison amefunga?

Hivi huwa mbafuatilia ni makosa mangapi hufanywa na waamuzi mechi za wengine au mnadeka watu wazima?
Morrison endeleza ushwahiba na nyavu hadi hawa mbwa koko wajitoe kwenye ligi
IMG-20210218-WA0016.jpg
 
Back
Top Bottom