😀😀😀mkuu wewe ni mtu wa ile kanda ambayo mwezi wa kumi na mbili kunakuwaga hakutamaniki mjini?kama ndio basi tusibishane maana ninauhakika wewe mwenyewe utatoa mbuzi uliyemlisha majani Kwa muda wa mwaka mzima achinjwe mnywe kibulu,kisusio,mtori na nyama choma.
Wakikuonesha yale makaratasi mekundu mapya mapya yanayopatikana BOT basi lazima uingie kingi.niamini