Kila mtu achinje alicholisha December hii

Kila mtu achinje alicholisha December hii

mbarika

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
6,290
Reaction score
8,600
Wakuu mambo ni magumu aisee, Disemba bakini huko huko mjini kwenu!

IMG-20221120-WA0008.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
😀😀😀mkuu wewe ni mtu wa ile kanda ambayo mwezi wa kumi na mbili kunakuwaga hakutamaniki mjini?kama ndio basi tusibishane maana ninauhakika wewe mwenyewe utatoa mbuzi uliyemlisha majani Kwa muda wa mwaka mzima achinjwe mnywe kibulu,kisusio,mtori na nyama choma.

Wakikuonesha yale makaratasi mekundu mapya mapya yanayopatikana BOT basi lazima uingie kingi.niamini
 
Wengi mtajikuta katika wakati mgumu kama mzee Abraham ,Baba yake Isaka aliokutana nao.
 
Back
Top Bottom