Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Rais wa nchi na kijana wake wanafadhili MAGENGE ya utekaji na mauaji kwa wananchi, ndio sababu huwezi kusikia popote akitoa kauli ya KUKEMEA uhalifu huu. NI HUZUNI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa nchi na kijana wake wanafadhili MAGENGE ya utekaji na mauaji kwa wananchi, ndio sababu huwezi kusikia popote akitoa kauli ya KUKEMEA uhalifu huu. NI HUZUNI.
But.....Looks like a decent guy.
Hatuna Rais ndugu yangu, umeshawahi kusikia akitoa kauli yoyote ya KUKEMEA UDHALIMU huu? Samia na kijana wake Abdul ndio wafadhili wa hayo MAGENGE ya UTEKAJI NA MAUAJI. NI HUZUNISerikali inahusika kwa 100%. Samia hizi damu zitatakwa mikononi kwako
Wanatuua na sisi tunajifanya mazoba
Unamwagiwa tindikali ili usijulikane lakini unajulikanaKila mtu ameumbwa na nguvu zake za ziada ingawa tunafanana, eiza ikwa ni sababu ya kuwa kalibu kiimani na Muumba wake, au na asili ya chimbuko la mizimu yake huko alikotoka
Inawezekana umeshashuuhudia kitu kama hiki, kuna watu wakifa lazima waenda na watu kwa namna moja au nyingine, na hata kama wauaji walitaka kuficha ushahidi wa muhusika wanajikuta wanafanya vitu ambavyo wao wenyewe hawakutarajia na kila kitu kinabaki wazi, naamini huko waliko kuna watu hawaijui kesho yao itakuwaje, na wenda wakaishia kuwa wendawazimu r.i.p All Mohamed
Ukipinga serikali ya ccm tu basi. Unalo.But.....
Sentence hii haijaisha. Kuna la ziada unalojua juu yake, nyendo zake, alifanyeje hadi astahili yaliyomsibu!?
Embu zungumzia hapo ishu ya mizimu kwa upana kwenye maelezo yako..!Kila mtu ameumbwa na nguvu zake za ziada ingawa tunafanana, eiza ikwa ni sababu ya kuwa kalibu kiimani na Muumba wake, au na asili ya chimbuko la mizimu yake huko alikotoka
Inawezekana umeshashuuhudia kitu kama hiki, kuna watu wakifa lazima waenda na watu kwa namna moja au nyingine, na hata kama wauaji walitaka kuficha ushahidi wa muhusika wanajikuta wanafanya vitu ambavyo wao wenyewe hawakutarajia na kila kitu kinabaki wazi, naamini huko waliko kuna watu hawaijui kesho yao itakuwaje, na wenda wakaishia kuwa wendawazimu r.i.p All Mohamed
Tena hao jamaa waliofanya hilo tukio Natamka kuanzia leo maana kinywa kinaumba, nasema hivi "Wafe wote walioshiriki kwenye hilo tukio kila aliyeshiriki kuanzia mipango mpaka waliotekeleza hilo tukio, Wafe huu mwaka wasivuke.Kila mtu ameumbwa na nguvu zake za ziada ingawa tunafanana, eiza ikwa ni sababu ya kuwa kalibu kiimani na Muumba wake, au na asili ya chimbuko la mizimu yake huko alikotoka
Inawezekana umeshashuuhudia kitu kama hiki, kuna watu wakifa lazima waenda na watu kwa namna moja au nyingine, na hata kama wauaji walitaka kuficha ushahidi wa muhusika wanajikuta wanafanya vitu ambavyo wao wenyewe hawakutarajia na kila kitu kinabaki wazi, naamini huko waliko kuna watu hawaijui kesho yao itakuwaje, na wenda wakaishia kuwa wendawazimu r.i.p All Mohamed
He looks so innocent man.
Ndio mana amekuja na kejeliAliyeuliwa ni Mtanganyika na Yeye ni Mzanzibar
Eti eeh! Na ukiisifiu inakuwaje?Ukipinga serikali ya ccm tu basi. Unalo.
Sasa Hawa wauaji kutesa mwili Kwa ajili ya kuwa na maisha Bora na ajira, Bora Mungu anipitishie mbali na dhuluma za roho za wapendwa wengineHuyu Baba kaniuma sana, nimemuwazia sijui alipitia mateso mangapi, mpaka roho ikatengana na mwili. Kila aliyehusika kwa aina yoyote ile Baba wa mbinguni, shughulika nao.
Enter chawa with benefits.😀Eti eeh! Na ukiisifiu inakuwaje?
Nitapata mkopo benki nikiwaambia kuwa Mimi ni chawa?Enter chawa with benefits.😀
Inatia simazi sana.Huyu Baba kaniuma sana, nimemuwazia sijui alipitia mateso mangapi, mpaka roho ikatengana na mwili. Kila aliyehusika kwa aina yoyote ile Baba wa mbinguni, shughulika nao.
Mikopo hiyo ipo fuatilia.Nitapata mkopo benki nikiwaambia kuwa Mimi ni chawa?