Kila mtu ana mitazamo yake binafsi juu ya mtu

Kila mtu ana mitazamo yake binafsi juu ya mtu

Hold on

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2023
Posts
482
Reaction score
1,126
Kila mtu anakuwa na mitazamo yake binafsi juu ya mtu ila kitu mitazamo ya mtu kwa mtu kamwe haiwezi badili taswira halisi ya mtu

Matusi matusi ni fedhea hasa unapotukana hadharani kwa watu wengi heshima inapungua ni vyema ukaenda faragha mkatukanana vizuri

Uhuru kila mtu ana uhuru wa kuandika chchote na kusema chochote kile ambacho kwake anakiina sahihi
 
Back
Top Bottom