Boutafrica JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 1,334 Reaction score 2,938 Aug 29, 2025 #1 Huwa nazipenda na kuzikubali sana siku za Alhamisi,Ijumaa na Jumamosi. Hivi Kwanini watu wengi wanaichukia sana siku ya jumatatu? π
Huwa nazipenda na kuzikubali sana siku za Alhamisi,Ijumaa na Jumamosi. Hivi Kwanini watu wengi wanaichukia sana siku ya jumatatu? π
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Aug 29, 2025 #2 Jumatatu inaitwa blue monday mjuba, ndiyo siku ya kwanza kwenye harakati za kuanza mishe za maisha katika wiki
Jumatatu inaitwa blue monday mjuba, ndiyo siku ya kwanza kwenye harakati za kuanza mishe za maisha katika wiki
I ILLUMINATI RUMI JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 331 Reaction score 339 Aug 29, 2025 #3 Boutafrica said: Huwa nazipenda na kuzikubali sana siku za Alhamisi,Ijumaa na Jumamosi. Hivi Kwanini watu wengi wanaichukia sana siku ya jumatatu? π Click to expand... Mimi napenda ijumaa,jumamosi na jumapili
Boutafrica said: Huwa nazipenda na kuzikubali sana siku za Alhamisi,Ijumaa na Jumamosi. Hivi Kwanini watu wengi wanaichukia sana siku ya jumatatu? π Click to expand... Mimi napenda ijumaa,jumamosi na jumapili
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,388 Reaction score 16,188 Aug 29, 2025 #4 Boutafrica said: Huwa nazipenda na kuzikubali sana siku za Alhamisi,Ijumaa na Jumamosi. Hivi Kwanini watu wengi wanaichukia sana siku ya jumatatu? π Click to expand... Mimi zile siku ninazopumzika ndiyo nazipendaga
Boutafrica said: Huwa nazipenda na kuzikubali sana siku za Alhamisi,Ijumaa na Jumamosi. Hivi Kwanini watu wengi wanaichukia sana siku ya jumatatu? π Click to expand... Mimi zile siku ninazopumzika ndiyo nazipendaga
jaqson Member Joined Jul 21, 2025 Posts 55 Reaction score 45 Sep 1, 2025 #5 ILLUMINATI RUMI said: Mimi napenda ijumaa,jumamosi na jumapili Click to expand... π€