Kila mtu anajua kupata lakini wangapi wanajua kujitoa?

 
 
 
sawa mkuu vipi tupeane contact? sio utani umefiti kwenye fikira zangu kabisa japo hata mimi najitafuta lakini naamini katika kupata kwa mtu basi kuwe positive effects kutoka kule kwenye source

“Asante kwa maneno yako ya nguvu. Kwa sasa tuko kwenye jukwaa la wazi, hivyo si vizuri kuweka contact moja kwa moja. Kama uko serious, niandikie inbox (PM) tuendelee kwa utulivu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…