The Lost Boy
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 248
- 311
Sio tu kuwa kila mtu anapenda kusifiwa bali kila mtu anapenda kujisifu.
Hatuoni wazee wetu wakijisifu kuwa walikuwa na akili sana darasani wakati wanasoma.
Kiongozi anaposimama jukwaani katu hajipondi bali hujisifia
Fundi kujenga, fundi kuchona, Mwalimu, daktari, wachezaji, kocha,.. kila mtu yani.
Watu pia hupenda kusifu vitu vyao. Simu, gari zuri, nyumba, uwezo wao nk
Hiyo ndio hulka ya binadamu. Chunguza utaona hili karibia kwa kila mtu hata kwako pia
Mambo ya kuzingatia unaposifu/jisifu
1. Usisifie/jisifu kupitiliza
2. Usisifie/jisifu uongo
3. Usisifu/jisifu kwa Sifa za KiMungu
Hussein Hussein