The Lost Boy
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 248
- 311
Sio tu kuwa kila mtu anapenda kusifiwa bali kila mtu anapenda kujisifu.
Hatuoni wazee wetu wakijisifu kuwa walikuwa na akili sana darasani wakati wa nasoma.
Kiongozi pia wanaposimama katika jukwaani hutokosa kuona akijisifia.
Sio hivyo tu, watu pia hupenda kusifu vitu au mambo yao.
Gari yangu hii ni kali sana
Hiyo ndio hulka ya binadamu. Chunguza utaona hili karibia kwa kila mtu
Mambo ya kuzingatia unaposifu/jisifu
1. Usisifie/jisifu kupitiliza
2. Usisifie/jisifu uongo
3. Usisifu/jisifu kwa Sifa za KiMungu
Sasa ukijisifu kwa kile ambacho huna huo utakuwa ni uchizi, kuna jamaa yangu nilienda kumtembelea sehemu, eti ananiambia kama utakuwa maeneo haya muda mrefu niambie nikupangie chumba, πππ anaeniambia kuniambia chumba kigodoro anacholalia kakiweka chini hana kitanda ,shuka la kujifunika lenyewe hana, Kula yake yenyewe ya tabu..nikabaki kucheka tuSio tu kuwa kila mtu anapenda kusifiwa bali kila mtu anapenda kujisifu.
Hatuoni wazee wetu wakijisifu kuwa walikuwa na akili sana darasani wakati wa nasoma.
Kiongozi pia wanaposimama katika jukwaani hutokosa kuona akijisifia.
Sio hivyo tu, watu pia hupenda kusifu vitu au mambo yao.
Gari yangu hii ni kali sana
Hiyo ndio hulka ya binadamu. Chunguza utaona hili karibia kwa kila mtu
Mambo ya kuzingatia unaposifu/jisifu
1. Usisifie/jisifu kupitiliza
2. Usisifie/jisifu uongo
3. Usisifu/jisifu kwa Sifa za KiMungu
Mimi na my Nigga binti kiziwi tunakazia,Sasa wahaya wapo kwenye hizo 3 za mwisho
Hata wanaume wanapenda kusifiwaKila mtu anapenda sifa Ila wanawake wanapenda kusifiwa
Mimi na my Nigga binti kiziwi tunakazia,
Ni kujisifia piaUtakuja shtuka hata kusema hupendi kujisifia ni kujisifia pia.
π anajifunika na ngumiSasa ukijisifu kwa kile ambacho huna huo utakuwa ni uchizi, kuna jamaa yangu nilienda kumtembelea sehemu, eti ananiambia kama utakuwa maeneo haya muda mrefu niambie nikupangie chumba, πππ anaeniambia kuniambia chumba kigodoro anacholalia kakiweka chini hana kitanda ,shuka la kujifunika lenyewe hana, Kula yake yenyewe ya tabu..nikabaki kucheka tu