Kila Mtu Aweke Uongo Wake Hapa

Mkuu wa Mkoa Wa Dar es salaam anaitwa Paulo Makonda tangu amezaliwa.
 
Nitakapokuwa Rais wa nchi hii kelelekelele zote za sasa hazitakuwepo. Itakuwa nchi ya maziwa na asali!
 
Mi ndo naongoza kwa kuwa na likes nyingi zaid kuliko members wote hapa jf
 
Kufanya kolabo na wiz kid. [emoji443] [emoji444] [emoji441]
 
Juzi natoka usingizini nagundua maisha yangu yote hadi hapa nilipofika ni ndoto sasa nimejikuta niko la nne
 
Ajira mpya 52,000/= Afya na elimu zamwagwa Leo hii
 
Ajira mpya 52,000/= Afya na elimu zamwagwa Leo hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…