Kila Mtu Aweke Uongo Wake Hapa

Kila Mtu Aweke Uongo Wake Hapa

Bomba la gesi ya mnazibei lakoneshwa ktk kiwanda cha Dangote
 
Sijawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke yeyote, ndio sasa nataka kuanza, kama vipi ukitaka tulianzishe nifuate inbox.
 
Sijawahi kukutana na mwanaume yeyote humu JF.... sijawahi kutiana na mwanaume yeyote humu JF sijawahi kuwasiliana na mtu yeyote PM

Sijawahi kutoka nje ya Tanzania safari zangu zinaishia kariakoo kutoka kimanzichana.
Mie ni omba omba ukiwa unaisumbua sumbua PM na jumbe zako lazima nikuombe kila kitu.

Hehehehehhehee
Sina mahaba kwangu ni gwaride mwanzo mwisho hakuna kucheka wala kustorisha. Uso wa kazi muda wote hihihihihihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ( Monkey Smile).
 
Back
Top Bottom