Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Bwana naomba utete nao,aisee tunatikii oktobaa
Nipo salama vip wewe upande wako kila kitu kipo salamaHappy to see uko salama ๐ซ
Mimi niko salama, vipi huko nje kulikuwaje?Nipo salama vip wewe upande wako kila kitu kipo salama
Mhh Bado kazi ni kazi japo Kuna vijana wetu wametangulia kwaajili ya taifa lao ๐Mimi niko salama, vipi huko nje kulikuwaje?
Nimeona, inasikitisha, kuna video nimeona dada ameshikilia mwili wa mwenzake barabarani ๐ข๐ญMhh Bado kazi ni kazi japo Kuna vijana wetu wametangulia kwaajili ya taifa lao ๐
Inasikitisha sana ila ndiyo hivyo watu tunahitaji mabadiliko ๐Nimeona, inasikitisha, kuna video nimeona dada ameshikilia mwili wa mwenzake barabarani ๐ข๐ญ
Kijana, naona unanifuata fuata kwenye kila uzi.To every action thereโs an equal and opposite reaction, umetetea ushenzi wote wa Samia na genge lake bila huruma kwa waliotekwa na kuuliwa, pushbacks kidogo tuu uharo unawatoka mnataka maombi, glad akili imerudi lakini damage mliyowafanyia watu ni ya maisha, ombea amani na mabadiliko
Chawa pro max leo unaruka, yaishe tuendeleeKijana, naona unanifuata fuata kwenye kila uzi.
Ni wapi umeshaniona namtetea huyo mama? Naomba usinihusishe na mambo ya kipumbavu!
Mabadiliko ni lazima, hayakwepeki.Inasikitisha sana ila ndiyo hivyo watu tunahitaji mabadiliko ๐
Poleni sana, hakuna damu ya mtu inapotea bure, kamwe.Sio siri kun watu wamekufa Mungu ibariki tz