Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #41
Si wawashe basi na wameshachukua madaraka.Mtandao ukiwashwa ndio tutajua💔
Si wawashe basi na wameshachukua madaraka.Mtandao ukiwashwa ndio tutajua💔
Bado hawana uhakika na madaraka yao waliojichukulia kikatili.Si wawashe basi na wameshachukua madaraka.
Hatutasahau na ni lazima watawajibishwaBado hawana uhakika na madaraka yao waliojichukulia kikatili.
Daah, aya ni mauaji ya kimbali aisee…siku expect wangefika uku aiseeHatutasahau na ni lazima watawajibishwa
Amen, mama mchungajiWatu wengi wanaumia na kuumizwa, tuombeane tuvuke salama kwenye hili.
View attachment 3496083
- Tuwaombee wenye madaraka wapewe busara na unyenyekevu unaohitajika katika kipindi hiki.
- Tuwaombee wote wenye maumivu ya kupoteza ndugu zao kwa dhuluma na ukatili wakapate faraja na haki wanazostahili.
- Tuwaombee wale wanaotoka kupigania wanachokiamini wawe salama wasidhurike.
- Tuiombee nchi yetu, nchi ya watoto wetu na ya vizazi vyetu isije kuingizwa kwenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe.
- Tuombee umoja usiotetereka wenye kuweka nchi kwanza badala ya kikundi au vikundi vya watu wachache.
Kwa imani yako na bila kujali itikadi za kiasiasa, tuiombee Tanzania 🇹🇿 yetu!
Mimi pia, I didn't see this coming. ni ukatili wa ajabuDaah, aya ni mauaji ya kimbali aisee…siku expect wangefika uku aisee
Mpaka nimekumbuka kusali aiseeeh!Amen, mama mchungaji
Mie nilikuwa kila siku nakutaja jina lako kwenye maombi mama pastor 😊Mpaka nimekumbuka kusali aiseeeh!
Hatari sana
Amina baba, asante kwa maombi 🙏Mie nilikuwa kila siku nakutaja jina lako kwenye maombi mama pastor 😊
Pole na hongera kwa lock down. Tumshukuru Mungu, na tuendelea kuombea taifa kwa waliofikwa na matatizo. Mda wa kuweka siasa mbali, nimefuta kila kitu, hadi account zangu zote za siasa za social media nimebakiza hii tu.Amina baba, asante kwa maombi 🙏
Mimi nilijifungia ndani kama mfungwa, kwa kweli sijatoka hata kidogo!
I hope wako salama, mimi nawajua wengi tu ambao waliniambia wametoka, sitaki kuwatag hapa nisije kuwaingiza kwenye shida.Sitoridhika mpaka nikiwaona hawa watu Yohimbe bark naa 100 others Hance Mtanashati Lamomy mlisema mpo kwenye maandamano, internet imerudi nyingi mpo wapi?😔
Sana, tumefikia pabaya mnoInasikitisha sana
Pole sana, kwa uzee wangu huu sijawahi kuona mambo ya kuogopesha kama haya. Hata yale ya Mkapa na baadaye kipindi kile Zanzibar ya Maalim Seif hatukufika huku.Huu ukatili umetisha na kuogofya, pole kwa walipoteza ndugu zao kwenye hizi harakati.
Nawaombea wote, wengine bado sijawaona wamerudi, acha tusubiri.Tuwaombee Gen Z wa jf maana baadhi walitoka na kwa hali hii inatisha sana
Haikuwa kazi ndogo kuishi kama Gaza kupambana na hawa majambazi waliothibitishwa na serikali.
Daaah, kwa ukatili niliouona, nashukuru Mungu uko salama mpare wangu 🫂Haikuwa kazi ndogo kuishi kama Gaza kupambana na hawa majambazi waliothibitishwa na serikali.