Kila mtu kwa imani yake aiombee Tanzania 🇹🇿

Amen, mama mchungaji
 
Amina baba, asante kwa maombi 🙏
Mimi nilijifungia ndani kama mfungwa, kwa kweli sijatoka hata kidogo!
Pole na hongera kwa lock down. Tumshukuru Mungu, na tuendelea kuombea taifa kwa waliofikwa na matatizo. Mda wa kuweka siasa mbali, nimefuta kila kitu, hadi account zangu zote za siasa za social media nimebakiza hii tu.
 
Huu ukatili umetisha na kuogofya, pole kwa walipoteza ndugu zao kwenye hizi harakati.

Tuwaombee Gen Z wa jf maana baadhi walitoka na kwa hali hii inatisha sana
 
Huu ukatili umetisha na kuogofya, pole kwa walipoteza ndugu zao kwenye hizi harakati.
Pole sana, kwa uzee wangu huu sijawahi kuona mambo ya kuogopesha kama haya. Hata yale ya Mkapa na baadaye kipindi kile Zanzibar ya Maalim Seif hatukufika huku.
Tuwaombee Gen Z wa jf maana baadhi walitoka na kwa hali hii inatisha sana
Nawaombea wote, wengine bado sijawaona wamerudi, acha tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…