UnyamaDaaah, kwa ukatili niliouona, nashukuru Mungu uko salama mpare wangu π«
Kwa kweli, ushetani umekua mkubwa kupitiliza. Ila tunashukuru ndugu zetu wengine tuliowaombea wamesalimika.Maombi hayamove chochote.
Mnoo.Mimi pia, I didn't see this coming. ni ukatili wa ajabu
πππππnipo hai mama.
Sawa πHakuna uhusiano wa Maombi na Issue iliyotokea.
Dar ni kilio aseeeTumesha omba sana mkuu, ingawa maombi ama kuomba hakuna mwisho ila wala kikomo ila sala , dua, mifungo, maombi ya mkesha, novena nk.
Acha wakati uamue na kusudi la Mungu liwe.
Kusema ukweli athari ni kubwa mno haswa huku dar es laam, kiasi hali inaogopesha ila tumaini la kesho nzuri lipo.
Inasikitisha sana πDar ni kilio aseee
Ila we mtoto πNipo na mdada hapa unaambiwa mapaja nje nje an leo nafanya maombi huku nakula pazuri jamni ππππ
Na hawezi kwenda kwao dodoma huko anasema usafiri bado haupo sawa, kinachobaki ni kuiombea tanzania
Nipo kipenzi β€οΈ
Pole kwa maswahibuNipo kipenzi β€οΈ