Kila mtu na starehe yake, wewe yako nini?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Mimi starehe yangu ni kula nguna (ugali mgumu sana na mkubwa sana) kisha baada ya hapo naenda kucheza disco la Yesu
Je mwenzangu ni ipi starehe yako?
Wapo wanaostareheka na miili ya wenzao, wengine starehe yao, ni sigara, wengine ni pombe, wengine starehe yao kusafiri.
Hapa pichani chini nikijisevia msosi

 
Duh! Bujibuji wewe ni mkale.. Mie starehe yangu kufika vileleni na kulala juu ya hewa.
 
Last edited by a moderator:
mi starehe yangu kumsubiria mume wangu Arushaone na mwiko akiwa ametoka kwenye pombe zake sa kumi ili nisimpige ananipa ka laki kangu tunaenda kulala
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…