Kila mtu na starehe yake, wewe yako nini?

Wewe si ulisema unataka kuniasili niwe bintiyo? Nataka kulala nae nijue kama anakoroma ama ana psyuuu uthiku. Bhaaaas. Ili nikija home nisije nikashindwa kulala na sistaz wangu.v
Weweeee....unataka kumfanya nini binti yangu???
 
Nakumbuka kama uliitosa ile ofa...haya wakaribushwa tena maana kwangu nafyatua mabinti tu.
Si unajua ndio dili nakulamo posa na mahari...

Wewe si ulisema unataka kuniasili niwe bintiyo? Nataka kulala nae nijue kama anakoroma ama ana psyuuu uthiku. Bhaaaas. Ili nikija home nisije nikashindwa kulala na sistaz wangu.v
 
Na sijakubali bado. Nataka kuijua foster home ikoje kwanza.
Nakumbuka kama uliitosa ile ofa...haya wakaribushwa tena maana kwangu nafyatua mabinti tu.
Si unajua ndio dili nakulamo posa na mahari...
 
Na sijakubali bado. Nataka kuijua foster home ikoje kwanza.

Ukiwa mwanangu wala hutajisikia kama ni mwana wa kufikia...
Utapata stahiki zote daughter wangu mtarajiwa...
Karibu!
 
Starehe yangu YNNAH!
Fulusitopu .
 
Last edited by a moderator:
mi bwana starehe zangu mnazijua haina maana yakuelezea hapa:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
starehe yangu kuamka asubuhi kabla ya jua,
watu wote bado wamelala, natoka nje...
I feel like the world is mine and mine alone
 
Kupiga chabo na kunyuti ndio ugonjwa wangu nikikosa mtaani kwetu niko radhi niende mpaka Tandika hata kwa kukopa nauli
 
Bujibuji hivi nilisema starehe yangu ni nini?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Bujibuji kwa style hiyo gari la maji taka lazma liwe raiki yako hapo home!huu ugali wote una enda kuujaza kwenye choo cha nani???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…