kila mtu ni kichaa(Every body is mad and the degree of madness is measured when Angry)

kila mtu ni kichaa(Every body is mad and the degree of madness is measured when Angry)

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
13,336
Reaction score
12,370
Mimi menyewe ukichaa wangu naomba nisipewe siraha maana nikichukia nakua km simba kwa kuunguruma:Naomba tuchangie tufanyeje ili kizazi hiki kitulie kisipate ungonjwa km wa kwangu mimi huwa naweza kutulia kwa kuwa busy muda mwingi nafanya kazi napenda pia utani naomba mtusamehe sisi wenye hasira ila mimi napenda kushaurika na kijichanganya hapa kuchichangaya na maanisha kujumuika na rika mbalimabali. Karibuni
 
Back
Top Bottom