Kila MTU ni kinyozi na Anmiliki Saloon.

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Usijiulize wewe ni kinyozi kwa maana gani?

Kama ulishawahi kujinyoa zile nywele za Chini basi wewe ni kinyozi na unamiliki saloon yako pendwa kabisa.


Jinyoe utakavyo lakini jua wewe ni kinyozi tu .
 
Duu kumbe ata mimi ni kinyozi,Haya mkuu.
 
Daaaah, Nina miaka sijanyoa aiseee...ila vuzi langu ni kipilipili, halikui
 
Mmmmh mie nanyolewa sijawahi jinyoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…