Kila mtu ni tajiri

Kila mtu ni tajiri

Ghost boss

Member
Joined
May 3, 2019
Posts
33
Reaction score
57
Kila mtu ni tajiri kama ataamua kuwa tajiri, Mungu alimuumba mwanadamu aishi milele ndani ya bustani ya edeni ila kuishi milele kunategemeana na Kama hatakutwa na kosa la kula tunda la mti uliokatazwa, hivyo ndivyo kwenye upande wa utajiri Kwamba wote tunayonafasi ya kuwa matajiri ila nafasi sio kuwa ndio tayari ni matajiri hiyo ya kuwa tajiri itategemeana wewe kile unachofanya na wale unaoshirikiana nao, utajiri nizawaidi ambayo Mungu amewapa kilamtu ila kuwa tajiri nikiamua kuwa.

Utajiuliza kwanini nasema ukitaka kuwa una kuwa? Jibu ni kwamba kila mtu Mungu alipomuumba duniani alimpa upekee na kipawa fulani icho kitu pekee kinatosha kabisa kuwa tajiri mkubwa duniani, kivipi? Nihivi; Mungu hakuwahi na hatowahi kuumba mtu kama wewe na hayupo mtu Kama wewe na kama angekuwepo jiulize Mungu aliumba hivyo iliiweje? Kwanini ajaze watu duniani wanao fanana?

Ukweli ni kuwa Mungu alipokupa kipawa unachohofia kukionyesha kwa jamii ni sawa na yule aliyepewa denari na kuifukia kisha baadae akaanza kulalama Kama mwenda wazimu na akaadhibiwa, Upekee wako haufanani na wamtu mwengine hivyo basi ukijitambua na kujua Upekee na ubora wako na kipawa chako ni rahisi sana kufanikiwa kwenye maisha

Kama mtu ataonyesha ule Upekee wake kwa jamii lazima jamii ikubali huduma yake kwakuwa ule Upekee wa mtu ndio uhaba na mahitaji ya dunia, hukuja duniani kuzurura ulikuja kuziba ufa ambao kila mtu hawezi kuuziba ila wewe, kile kitu ulichopewa uje ufanye duniani ndicho hicho dunia inachokosa, utajiri umejificha kwenye mwili wako hayo ya nje na kutaka kuwa Kama fulani ndio umasikini wako wa kutupwa,

Hivi unalalamika dunia ipo hivi mara dunia ipo vile wakati wewe ndio ulitakiwa ukifanye kile kitu ili dunia iwe sawa, akili yako sio yangu, unaweza sema labda ghost boss angeandika hivi ingekuwa poa sana lakini unasahau kila mtu anaile denari aliyopewa kwaiyo Mimi nikizalisha saba ni sawa yupo atakaye zalisha kumi na yupo atakaye ifukia.

Ninani anayefukia denari yake? Niyule ambaye hataki kutumia kipawa alichopewa na Mungu kwaajili yake na kukimbilia kwa mtu mwengine na kukijenga zaidi kipawa cha mwenzie, mtu huyo anakuwa amejinyang'anya mwenyewe kipawa chake na kumpa yule mwenye talanta kumi. Mtu wakariba hiyo kuwa tajiri ni rahisi kwa samaki kuishi nchi kavu kwa miaka elfu moja kuliko kwa mtu huyo kuwa tajiri.

Tumia kile ulichopewa saidia dunia kuwa tajiri, Mungu alikuleta duniani kwa sababu za kipekee ndio maana watu wanalingana na hawafanani. Kumlalamikia tajiri kwa vile hakujali ni dhambi kubwa maana wewe Ni TAJIRI ila umeamua kuizika talanta yako ardhini subili ufe uchomwe moto maana kulalama tajiri akujari ni uonevu ila wewe ndio hujali wenzio, kivipi? Wewe unalalamika ooh! Bill gate hajali masikini wakati huo huo wewe unatumia Microsoft kufanya mambo yako. Lakini wewe unakitu ambacho bill gate anakiitaji kufanya mambo yake na hutaki kukitoa kwa dunia wanufaike nacho mwisho unakufa na dunia inateseka ila unakuwa wakwanza kushika bango tajiri hakujari wewe ni wakwanza usiyejali wenzio ila tajiri anakujali, na kwanza huyo unayemwita tajiri Ni kwavile katoa kile kipawa ambacho jamii inakiitaji nasisi tukampa pesa na masikini ni mtu mchoyo asiyetoa kipawa chake nasisi tunashindwa kumpa angalau pesa kutimiza mahitaji yetu juu ya kipawa chake, masikini ni mchoyo na hatari inayokuwepo asipotubu anaweza ingia motoni.
 
Kila mtu Ni TAJIRI Kama ataamua kuwa tajiri, Mungu alimuumba mwanadamu aishi milele ndani ya bustani ya edeni ila kuishi milele kunategemeana na Kama hatakutwa na kosa la kula tunda la mti uliokatazwa, hivyo ndivyo kwenye upande wa utajiri Kwamba wote tunayonafasi ya kuwa matajiri ila nafasi sio kuwa ndio tayari ni matajiri hiyo ya kuwa tajiri itategemeana wewe kile unachofanya na wale unaoshirikiana nao, utajiri nizawaidi ambayo Mungu amewapa kilamtu ila kuwa tajiri nikiamua kuwa.

Utajiuliza kwanini nasema ukitaka kuwa una kuwa? Jibu ni kwamba kila mtu Mungu alipomuumba duniani alimpa upekee na kipawa fulani icho kitu pekee kinatosha kabisa kuwa tajiri mkubwa duniani, kivipi? Nihivi; Mungu hakuwahi na hatowahi kuumba mtu kama wewe na hayupo mtu Kama wewe na kama angekuwepo jiulize Mungu aliumba hivyo iliiweje? Kwanini ajaze watu duniani wanao fanana?

Ukweli ni kuwa Mungu alipokupa kipawa unachohofia kukionyesha kwa jamii ni sawa na yule aliyepewa denari na kuifukia kisha baadae akaanza kulalama Kama mwenda wazimu na akaadhibiwa, Upekee wako haufanani na wamtu mwengine hivyo basi ukijitambua na kujua Upekee na ubora wako na kipawa chako ni rahisi sana kufanikiwa kwenye maisha

Kama mtu ataonyesha ule Upekee wake kwa jamii lazima jamii ikubali huduma yake kwakuwa ule Upekee wa mtu ndio uhaba na mahitaji ya dunia, hukuja duniani kuzurura ulikuja kuziba ufa ambao kila mtu hawezi kuuziba ila wewe, kile kitu ulichopewa uje ufanye duniani ndicho hicho dunia inachokosa, utajiri umejificha kwenye mwili wako hayo ya nje na kutaka kuwa Kama fulani ndio umasikini wako wa kutupwa,

Hivi unalalamika dunia ipo hivi mara dunia ipo vile wakati wewe ndio ulitakiwa ukifanye kile kitu ili dunia iwe sawa, akili yako sio yangu, unaweza sema labda ghost boss angeandika hivi ingekuwa poa sana lakini unasahau kila mtu anaile denari aliyopewa kwaiyo Mimi nikizalisha saba ni sawa yupo atakaye zalisha kumi na yupo atakaye ifukia.

Ninani anayefukia denari yake? Niyule ambaye hataki kutumia kipawa alichopewa na Mungu kwaajili yake na kukimbilia kwa mtu mwengine na kukijenga zaidi kipawa cha mwenzie, mtu huyo anakuwa amejinyang'anya mwenyewe kipawa chake na kumpa yule mwenye talanta kumi. Mtu wakariba hiyo kuwa tajiri ni rahisi kwa samaki kuishi nchi kavu kwa miaka elfu moja kuliko kwa mtu huyo kuwa tajiri.

Tumia kile ulichopewa saidia dunia kuwa tajiri, Mungu alikuleta duniani kwa sababu za kipekee ndio maana watu wanalingana na hawafanani. Kumlalamikia tajiri kwa vile hakujali ni dhambi kubwa maana wewe Ni TAJIRI ila umeamua kuizika talanta yako ardhini subili ufe uchomwe moto maana kulalama tajiri akujari ni uonevu ila wewe ndio hujali wenzio, kivipi? Wewe unalalamika ooh! Bill gate hajali masikini wakati huo huo wewe unatumia Microsoft kufanya mambo yako. Lakini wewe unakitu ambacho bill gate anakiitaji kufanya mambo yake na hutaki kukitoa kwa dunia wanufaike nacho mwisho unakufa na dunia inateseka ila unakuwa wakwanza kushika bango tajiri hakujari wewe ni wakwanza usiyejali wenzio ila tajiri anakujali, na kwanza huyo unayemwita tajiri Ni kwavile katoa kile kipawa ambacho jamii inakiitaji nasisi tukampa pesa na masikini ni mtu mchoyo asiyetoa kipawa chake nasisi tunashindwa kumpa angalau pesa kutimiza mahitaji yetu juu ya kipawa chake, masikini ni mchoyo na hatari inayokuwepo asipotubu anaweza ingia motoni.
Kwa mfano ww mpaka sasa una utajiri kiasi gan baada ya kugundua kipaji chako?
 
Unaweza kuwa tajiri wa kichwani ukawa maskini kwenye jamii,serekali mpaka fursa zilizopo na uchumi.

Elon musk hana kwambia kama bila kufika USA basi ningebakia jina tu africa.
IMG_3982.jpg

USA land of future dream
 
View attachment 1709116

USA land of future dream
"..hana kwambia.." ndo umeandika nini??
Hivi wakati unaongea huwa unasema "hanakwambia" au unasema "anakwambia??

KUM.ANY.OKO!!!! chizcom
 
Unaweza kuwa tajiri wa kichwani ukawa maskini kwenye jamii,serekali mpaka fursa zilizopo na uchumi.

Elon musk hana kwambia kama bila kufika USA basi ningebakia jina tu africa.
View attachment 1709116

USA land of future dream
Da nadipenda marekani nyie, ile nchi alie iunda ana akili sana,Elon musk aliiona future yake mapema sana.Wanasayansi wengi Marekani imewainua, bila Marekani wasingejulikana.Bila kushirikiana na Marekani hapa duniani hutoboi, hata dangote anashirikiana na Marekani.
 
Back
Top Bottom