Kila muhudumu wa bar anasema yupo busy na mimi nina hamu vibaya

Kila muhudumu wa bar anasema yupo busy na mimi nina hamu vibaya

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Wakuu samahani huu uzi ni mfupi sana.

Sijaja bar kunywa bia ila nimeagiza tu kwa lengo la kuzoom yupi barmaid atanifaa na hili baridi la Makete. Pesa ninayo lakini kila muhudumu yupo busy hatari kila nikigusa huyu na yule wanasema kwa Leo hapana.

Nifanyeje sasa mie nataka muda huu.
 
Siombei yanikute
1656876206555.jpg
 
Wakuu samahani huu uzi ni mfupi sana.

Sijaja bar kunywa bia ila nimeagiza tu kwa lengo la kuzoom yupi barmaid atanifaa na hili baridi la makete. Pesa ninayo lakini kila muhudumu yupo busy hatari kila nikigusa huyu na yule wanasema kwa Leo hapana.

Nifanyeje sasa mie nataka mda huu.
Mjinga kweli wewe, next time uwe unatuambia wenyeji wako. Ona sasa utapigwa baridi Hadi ufe wakati hapa Ikonda hawana hata pa kwenda, chukua boda faster njoo hapa Ikonda Niko na Jamaa ana deal na mambo ya HIV AIDS atakupa PEP kabisa
 
Wakuu samahani huu uzi ni mfupi sana.

Sijaja bar kunywa bia ila nimeagiza tu kwa lengo la kuzoom yupi barmaid atanifaa na hili baridi la makete. Pesa ninayo lakini kila muhudumu yupo busy hatari kila nikigusa huyu na yule wanasema kwa Leo hapana.

Nifanyeje sasa mie nataka mda huu.
Kama una pesa kanunue koti
Acha uzuzu wa kujaza server za Jf na ujinga wenu
 
Back
Top Bottom