Kila muhudumu wa bar anasema yupo busy na mimi nina hamu vibaya

Kila muhudumu wa bar anasema yupo busy na mimi nina hamu vibaya

Wakuu samahani huu uzi ni mfupi sana.

Sijaja bar kunywa bia ila nimeagiza tu kwa lengo la kuzoom yupi barmaid atanifaa na hili baridi la Makete. Pesa ninayo lakini kila muhudumu yupo busy hatari kila nikigusa huyu na yule wanasema kwa Leo hapana.

Nifanyeje sasa mie nataka muda huu.
Nakupa solution fupi kama uzi wenyewe.. Nyetuka
 
Mjinga kweli wewe, next time uwe unatuambia wenyeji wako. Ona sasa utapigwa baridi Hadi ufe wakati hapa Ikonda hawana hata pa kwenda, chukua boda faster njoo hapa Ikonda Niko na Jamaa ana deal na mambo ya HIV AIDS atakupa PEP kabisa
Duh....!!
 
Back
Top Bottom