Kila muhudumu wa bar anasema yupo busy na mimi nina hamu vibaya

Mjinga kweli wewe, next time uwe unatuambia wenyeji wako. Ona sasa utapigwa baridi Hadi ufe wakati hapa Ikonda hawana hata pa kwenda, chukua boda faster njoo hapa Ikonda Niko na Jamaa ana deal na mambo ya HIV AIDS atakupa PEP kabisa
Umetaja PEP nimekumbuka condom ilivopasukaga bwana nikiwa mwanza nakula malaya wa deluxe pale karibu na club 55 . Nikakimbia hospital kamanga kesho yake nikapewa nimeze mwezi mzima

Za kabla ya tendo tunaita PrEP
 
Makete?? Huko ndo kiwanda cha ukimwi kipo watch out kido
 
Pande hizo naskia virus yupo kwa wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…