Kila MWALIMU ( Ajirampya) Cheti,Stashahada na Shahada 2014 ATATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO:-

Mr Great Thinker

New Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
1
Reaction score
0
1. Kuripoti
tarehe 01/04/2014 kwenye ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri kwa ajili
ya kupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi.
2. Mwalimu atatakiwa kuwa na vyeti vyake halisi vyachuona Sekondari
3. Walimu ambao ni waajiriwa wa Serikali waliokuwa wanajiendeleza kieli
mu wanatakiwa kurudi kwa waajiri wao ilikuendelea na kazi
4. Fedha za kujikimu za siku saba (7)
na nauli kwa walimu wapya zimetumwa katika Halmashauri walikopang
wa walimu. Hivyo, kila mmoja aripoti katika Halmashauri aliyopangwa
5. Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 10/04/2014 hatapokelewa
tena na atakuwa amepoteza ajira yake.:mod:
 
Wale walimu…habari hyo
Ila jinsi ulivyoandka iinatia uvivu kusoma…hujaacha hata space
 
WAONGO hata kama ukienda tarehe 15 mwez wa 4 watakupokea tu kwan mim MGENI wa TANZANIA!! Waache kutisha WALIMU bwana!
 
WAONGO hata kama ukienda tarehe 15 mwez wa 4 watakupokea tu kwan mim MGENI wa TANZANIA!! Waache kutisha WALIMU bwana!

Usiwadanganye wenzio. Atakayekwenda baada ya tarehe 10 April hatapata mshahara mpaka mwezi Juni.
 
Eti Musoma mjini pakoje kimiundombinu na mzunguko wa hela me niko Arusha.
 

Kwa mini hela ya siku saba hizo siku zingine kufika mwisho wa mwezi watapata wapi
 
Eti Musoma mjini pakoje kimiundombinu na mzunguko wa hela me niko Arusha.

Unataka kujua mzunguko wa hela Musoma wa kazi gani kwani wewe unaenda Musoma kufundisha au kuchuna mibuzi? Kama unaenda kufundisha watoto huhitaji kujua mzunguko wa pesa, mwisho wa mwezi unakutosha. Kama unaenda kuchuna andika maaumvu wakurya si wahongaji.
 
Heeeeeeeeeee!
 
Heeeeeeeeeee!

Karibu Musoma mkuu. Hiyo ilikuwa salamu zetu. Tarime na Rorya ni moja ya wilaya zenye rutuba na ever green ktk mkoa wa Mara lakini nakushauri usije ukajaribu kulima ktk wilaya hizi. Ukiamua kulima, wenyeji watakuacha toka unatifua, unapanda, palizi. Mazao yakiiva tu wanakuja kuvuna wao tena mchana kweupeeee? Ukiwauliza watakujibu wewe si umeajiriwa na serikari na unalipwa mshahara sasa unataka upate mara mbiri muraa? Ndo imetoka na hakuna pa kushitaki.
 


Ntaenda nao sambamba nimejifunza saikolojia ya jamii,usuluhishi na ya ujasiriamali kitaeleweka tu i know how to deal with them friendly and politely saiyo navaa viatu vya kiuwekezaji sio miwani ya ualim tena.
 
Ntaenda nao sambamba nimejifunza saikolojia ya jamii,usuluhishi na ya ujasiriamali kitaeleweka tu i know how to deal with them friendly and politely saiyo navaa viatu vya kiuwekezaji sio miwani ya ualim tena.

Musoma mjini amani tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…