Kila mwanafunzi atahusishwa kwenye riadha Kenya

Kawaida yake uyo. Kilazza wa Lumumba
 
Sawa nitabadilisha kama unapenda nifanye nifanye hivyo!
Nachotaka ni kubadilisha mtazamo wako, na kukueka kwenye mwangaza. Hata kukulazimu sitaki.

Hivi bongo,hali ya sports development ikoje?? Kusema kweli, hapo sina nuru
 
Nachotaka ni kubadilisha mtazamo wako, na kukueka kwenye mwangaza. Hata kukulazimu sitaki.

Hivi bongo,hali ya sports development ikoje?? Kusema kweli, hapo sina nuru


Iko kawaida tu, wakati fulani tunapanda, wakati mwingine tunashuka ndiyo hivyo, that's life!
 
Acha upuuzi bwana mdogo, huwezi kubadili ukweli kuwa Wakalenjini ndio wanariadha mahiri Kenya.

Riadha hutegemea na bidii ya mtu binafsi. Ukiangalia mikoa yote, sote tukiwa wadogo kule shuleni, tulikimbia sana. Hata leo, watoto wengi wanakimbia sana tena mikoa yote. Lakini kadiri wanavyoanza kukua watu wazima, ile bidii inabadilika kulingana na mazingira kwa kukosa hamasa.

Mimi kwetu Ukikuyuni, yaani jamii ya Wakikuyu ni kama Wachagga vile, ukikua unawaza sana mambo ya biashara na kutengeneza hela. Unakuta tukiwa wadogo tunafanya vizuri sana kwenye riadha, lakini baada ya kukua watu wazima, wachache sana tunaendeleza riadha. Wengi tunaishia kwenye biashara za maduka, ujasiria wa kila aina. Lakini pia kuna baadhi ya hao Wakikuyu ambao wanadumisha utashi wa michezo, na wanaendeleza hiyo bidii hadi kwenye ngazi za kimataifa.

Lakini ukienda bonde la ufa kwa Wakalenjin, wengi wanaendelea na hayo mambo ya kukimbia hadi ukubwani. Barabarani unakuta kundi kubwa la watu wanakimbia wakifanya mazoezi.
Pia ukienda kwa jamii za Wajaluo na Waluhya, utakuta wengi wanapenda sana kucheza mpira katika ukubwani.

Hivyo mtu yeyote anaweza kuwa mwanariadha au mwana michezo, cha msingi ni kufanya maamuzi na kutia bidii, sio lazima uoe eti kwa kabila nyingine ndio utakua mwanariadha, vijisababu vyenu hivyo vya uswazi ni kero aisei.
 

Bidii na mazoezi tu bila kipaji havifui dafu. Wakalenjini kama Waoromo wa Ethiopia hata wangekuwa Uganda bado wangeng'ara kwenye riadha. Wakikuyu wangekuwa wana vipaji vya riadha lazima wangejazana huko maana kuna hela nyingi tu.
 
Bidii na mazoezi tu bila kipaji havifui dafu. Wakalenjini kama Waoromo wa Ethiopia hata wangekuwa Uganda bado wangeng'ara kwenye riadha. Wakikuyu wangekuwa wana vipaji vya riadha lazima wangejazana huko maana kuna hela nyingi tu.

Kuna swali niliuliza japo mkalikwepa, kule Marekani weusi wanafahamika sana kwenye riadha, sasa kama tunavyojua sote, wale walitoka kwenye makabila tofauti Afrika yote. Hapo mtasema mambo ya kuoana yanaingilia vipi.

Bado nasisitiza riadha huwa inategemea na bidii ya mtu. Na hela zake hazipatikani kiulaini kama unavyosema Wakikuyu wajazane huko. Soma biografia ya mwanariadha yeyote anayetengeneza hela nyingi, utaona jinsi anaishi maisha magumu sana. Kwa mfano nilisoma sehemu kuhusu maisha ya kila siku ya bingwa bwana Paul Tergat, jamaa kila siku alikua anakimbia mara tatu umbali wa kilomita 20, halafu mlo wenyewe inabidi awe makini na kujinyima na kuzingatia lishe bora bila pombe.

Hivyo mswahili aliyezoea mishkaki na chupa za beer eti ndio mlo kabisa, hawezi kumudu maisha ya mwanariadha. Halafu mazoezi yenyewe lazima uyafanye karibu mwaka mzima ndio ufikie hicho kiwango cha kuanza kutajika. Sasa Mkikuyu aliyezoea biashara za fasta fasta mjini unafikiria atawaza kwenda uwanjani akimbie na kujinyima mwaka mzima ndio aanze kupata chochote.

Pale inategemea na hamaso na pia bidii, kama umetokea kwa jamii ambayo baba mkimbiaji, utahamasika kukimbia pia. Lakini kama baba ni mjasiria mjini, vivyo hivyo utafuata huko.
 
Bidii na mazoezi tu bila kipaji havifui dafu. Wakalenjini kama Waoromo wa Ethiopia hata wangekuwa Uganda bado wangeng'ara kwenye riadha. Wakikuyu wangekuwa wana vipaji vya riadha lazima wangejazana huko maana kuna hela nyingi tu.
Unajua Kenya kuna waoromo,mbona hawaonekani popote kwenye riadha kama ndugu zao waoromo wa Ethiopia?
 

Ni ukakamavu gani huo unaouzungumzia wewe! Wale mgambo wa Alshaab kila siku wanakuja kupiga tako zao na kurudi makwao halafu wewe unazungumzia ukakamavu hapa,hujielewi wewe!
Vizuri lkn labda hiyo inaweza kuwasaidia msiendelee kuchapwa na wake zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…