Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Kama wanawake wakipewa nafasi ya kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja hakika wangezidisha zaidi.
Kuna mke wa mtu aliniambia hajaolewa kwa sababu anampenda mume wake bali kwasababu anajali,tajili au mwenyekutaka kuwa na familia.
Kama mwanaume ni bora kuweka akilini mwako kwamba huwezi kukidhi vigezo vyake vyote anavyotaka,unaweza kukidhi viwili tu na vingine haufiti.
Bila kujali kuwa anasema anakupenda kiasi gani jua kuna mwanaume anempenda na anatamani kuolewa nae au kuwa nae katika mahusiano.
Sasa usiombe huyo mtu awe bosi wake au mtu ambae yupo karibu na mazingira alipo kwamba anauwezo wa kumfikia utalia na kusaga Meno.
Ni heri kulitambua hili mapema kwani uwezi kukidhi vigezo vyote anavyotaka.
Iron&legacy