Yeye ampende tu maana hisia hazina uchaguzi, zinakuja tu. Kipimo ni utii wa kiapo chake, akiasi kiapo cha uaminifu talaka inafata maisha yanaendelea maana hata sisi wanaume tunajizuia kuvuta Gen Z wapate huduma sababu ya viapo.
Wengine wake zao na Manyonyo yalishalala, ila wanatii viapo, wanawatunza na kuwajali. Sasa, akijifanya bingwa wa kupenda, aende akahudumiwe 100% huko ajionee.