Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Kila mwanamke anapenda hela ila sio wajibu wako kama hujamuoa,
Mwanamke akikupenda:
Mwisho unalia mbona nilimpa kila kitu.
Mwanamke akikupenda:
- Hakosi hela ya nauli
- Hakosi hela ya saloni
- Hakosi bando
- Simu haiwezi kuisha chaji
- Hawezi kuwa busy
Mwisho unalia mbona nilimpa kila kitu.