Kila mwanamke anapenda hela ila sio wajibu wako kama hujamuoa

Kila mwanamke anapenda hela ila sio wajibu wako kama hujamuoa

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Kila mwanamke anapenda hela ila sio wajibu wako kama hujamuoa,

Mwanamke akikupenda:
  • Hakosi hela ya nauli
  • Hakosi hela ya saloni
  • Hakosi bando
  • Simu haiwezi kuisha chaji
  • Hawezi kuwa busy
Tatizo la vijana mnatumia hela kununua attention,

Mwisho unalia mbona nilimpa kila kitu.
 
Kila mwanamke anapenda hela ila sio wajibu wako kama hujamuoa,

Mwanamke akikupenda:

-Hakosi hela ya nauli
-Hakosi hela ya saloni
-Hakosi bando
-Simu haiwezi kuisha chaji
-Hawezi kuwa busy

Tatizo la vijana mnatumia hela kununua attention,

Mwisho unalia mbona nilimpa kila kitu.
Sawa utakula nyeto hadi ukome
 
na hela hazijawahi kutosha i short hatujawahi kujua tunataka kitu gani, utadate na mtu anakuhudumia kwa kila kitu ila mwalimu wetu alivyo bubu bado atachepuka na mtu anayeweza kumchora kwa mkono wake wa kushoto.
 
Mzee watu wanahudumia na bado tunawala tu
 
Attachments

  • Screenshot_20241211_213455.jpg
    Screenshot_20241211_213455.jpg
    62.3 KB · Views: 3
Kila mwanamke anapenda hela ila sio wajibu wako kama hujamuoa,

Mwanamke akikupenda:

  • Hakosi hela ya nauli
  • Hakosi hela ya saloni
  • Hakosi bando
  • Simu haiwezi kuisha chaji
  • Hawezi kuwa busy

Tatizo la vijana mnatumia hela kununua attention,

Mwisho unalia mbona nilimpa kila kitu.
Je wanaume hawapendi hela? Mbona siku hizi vijana wadogo wanadhalilishwa na mimama kwa vile ina pesa nao ni tegemezi na wanyonyaji?
 
Kila mwanamke anapenda hela ila sio wajibu wako kama hujamuoa,

Mwanamke akikupenda:
  • Hakosi hela ya nauli
  • Hakosi hela ya saloni
  • Hakosi bando
  • Simu haiwezi kuisha chaji
  • Hawezi kuwa busy
Tatizo la vijana mnatumia hela kununua attention,

Mwisho unalia mbona nilimpa kila kitu.
Man is to.provide woman is to be submissive
 
Back
Top Bottom