Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu inabidi akutane na wazee wamshauri nini cha kufanyaUna roho ya kukataliwa..ifanyie kazi kwa maombi
Tafuta wazee waeleze tatizo lako watakushauri vizuriUnapataje uchi bila kuutafuta
Nishafanya hii mara kadhaa na sio kama sijui kutongozaKijana hakuna kitu rahisi sana kama kutongoza.
1. Jenga urafiki na unayempenda kikawaida kabisa bila kumwonesha nia yoyote ya kutaka mapenzi naye
2. Ukishamteka kiakili kwa kumsoma kisaikolojia tafuta muda utoke naye kwenda mahala pa faragha kama garden au beach afu mnapokula au kunywa jaribu kuwa naye karibu zaidi(romantically) kisha msifie jinsi alivyoumbika na kumuahidi utavyokuwa unamthamini ukibahatika kuwa naye.
3. Akikukubalia mpe uhuru akuahidi lini mtaenda kupeana raha lakini asilimia kubwa wengi humalizaga pale pale wakati wa romance kwa kugusa sehemu hamasishi kihisia kwa Wanawake.
Basi jenga urafiki sana na mabaharia waliobobea ambao husifika kwa ukicheche ukijifunza mbinu anazotumia kupata Wanawake wengi kwa wakati wowote anaotaka na bila shaka utafanikiwa tu sababu "ndege wafananao huruka kundi moja"Nishafanya hii mara kadhaa na sio kama sijui kutongoza
sawa kaka ila kitu kimoja jaribu kuwa smart yaani sio kuigiza hapana uanze (kama sio) na pia kwenye kuongea uwe na stahi usilazimishe msichana kama akikwambia nitakujibu na pia uwe unamfuata msichana ana kwa ana kama hamko umbali ambao hamuwezi kukutanaHapa sio sawa mkuu
Mkuu unabalaa,ila nishajaribu fanya haya geto bila papara yoyote ila sikuambulia kitu
Fanya akuamini... kwa vitendo, care, penda anachopenda, msaidie... kuwa mtulivu unavyokuwa nae, usiwe mkweli 100 per cent - usiongope, usiwe over emotion juu ya mwili wake ingawa unavyoongea au kutembea nae jaribu kumshika mkono ku reduce distance (NB- usimlazimishe), be normal usi pretend wala usijikweze.Unapataje uchi bila kuutafuta
Kiufupi hiyo sio dawa....Fanya akuamini... kwa vitendo, care, penda anachopenda, msaidie... kuwa mtulivu unavyokuwa nae, usiwe mkweli 100 per cent - usiongope, usiwe over emotion juu ya mwili wake ingawa unavyoongea au kutembea nae jaribu kumshika mkono ku reduce distance (NB- usimlazimishe), be normal usi pretend wala usijikweze.
Usikurupuke kutongoza tongoza tu, wengine hawapendi kusikia hayo maneno after all wameshasikia sana hivyo hakuna jipya what is matter huwe na approach yako.Sijui umenisikia au niongeze sauti.
Kwa mbali sanaKwani sijui???
Umejificha wapi jirani.Nimekumiss Jirani...
Duuuuuuhhhhhh NjopinoMi naona kama kuna kaupendo kati yenu kinachipuka, huyo ni soul mate wako.