Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Hahahahaha hutageuka kichaa Mkuu bali huko ni kutoa nuksi na Totos zitaanza kukufukuzia weye kwa kasi ya kutisha [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Hahahha,inahitaji moyo kufanya hii
 
Reactions: BAK
Hii nzuri mkuu,ila nadhani wapo kadhaa nilitumia hii mbinu ila haikuzaa matunda
 
Ningekupa ujanja nadhani wahuni mnaita hvyo ila Mimi naita counseling tatizo utakufa na magonjwa ya zinaa zambi utakazochuma tutagawana trust me hii njia najuta kujifunza my friend physiologist ni. Chinese Fulani hivi nlkutana nae Thai yaani mpaka tukakutana ni movie tosha [emoji23] ...sku moja nitaandika uzi safari yangu ya maisha iliyojaa vioja na vituko alinifundisha namna ya ku socialize na kuingia kweny akili ya mtu maana we apo unayo afadhali maana niliamua niwe

Apathy... Maana nlkuwa na ugonjwa wa autism spectrum disorder ..difficult in communicating we acha tu

But Now nipo good nimezchoka papuchi ni bora uwe hvyo zambi ya zinaa ikukimbie na magonjwa pia papuchi iliniachisha pombe na ndo hyohyo imenifanya nimekuwa mlemvi mmoja trust me

Jikubali utampata mtu.. Ndege wafananao huruka pamoja
 
Pitia na kwangu hata Mimi npo kama mtoa mada [emoji5]
Wanasemaga ni "gundu" dawa yake ni kuoga na magadi au maji ya bahari.

Nakuja pm kuona picha kwanza mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu kuna mademu tunaowaita "nataka demu anayejielewa" nadhan hawa ndio wew unawataka. Trust me hawa mademu ni wasumbuf balah, cha msingi zama Berber shop moja kali na uende kunyoa nywele hapo mara nying kisha chukua zigo. Trust me, kila demu anauza sema mbinu tu , ndio zipo tofauti. Tafuta demu wa mtaani, achan na wa CHUO. Ila nawew itakuwa una jisikia sikia hivi, au unapigaga puli nayo inaleta uvivi kutongoza.
 
ukirudi likizo nitonye nikupe namba fulan za mademu hapo UDSM na NIT ambao hawana boom tuone kama watakataa !!!!
 
Watumie miamala bila kusahau hela ya kutolea.
Wakikataa hili, katambike Sumbawanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…