Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Ningekupa ujanja nadhani wahuni mnaita hvyo ila Mimi naita counseling tatizo utakufa na magonjwa ya zinaa zambi utakazochuma tutagawana trust me hii njia najuta kujifunza my friend physiologist ni. Chinese Fulani hivi nlkutana nae Thai yaani mpaka tukakutana ni movie tosha [emoji23] ...sku moja nitaandika uzi safari yangu ya maisha iliyojaa vioja na vituko alinifundisha namna ya ku socialize na kuingia kweny akili ya mtu maana we apo unayo afadhali maana niliamua niwe

Apathy... Maana nlkuwa na ugonjwa wa autism spectrum disorder ..difficult in communicating we acha tu

But Now nipo good nimezchoka papuchi ni bora uwe hvyo zambi ya zinaa ikukimbie na magonjwa pia papuchi iliniachisha pombe na ndo hyohyo imenifanya nimekuwa mlemvi mmoja trust me

Jikubali utampata mtu.. Ndege wafananao huruka pamoja
Nipe hizo Mbinu mkuu
 
mkuu kuna mademu tunaowaita "nataka demu anayejielewa" nadhan hawa ndio wew unawataka. Trust me hawa mademu ni wasumbuf balah, cha msingi zama Berber shop moja kali na uende kunyoa nywele hapo mara nying kisha chukua zigo. Trust me, kila demu anauza sema mbinu tu , ndio zipo tofauti. Tafuta demu wa mtaani, achan na wa CHUO. Ila nawew itakuwa una jisikia sikia hivi, au unapigaga puli nayo inaleta uvivi kutongoza.
Ni kweli nawafuata wengi pasua kichwa,ila confidence ninayo ya kutosha mkuu
 
ukirudi likizo nitonye nikupe namba fulan za mademu hapo UDSM na NIT ambao hawana boom tuone kama watakataa !!!!
Nishamaliza chuo mkuu,ila wakifungua chuo nitarejea kwa hili
 
Wengine tunatamani tuwapunguze na mwingine hana kabisa na sio kwamba hataki hapana bali hawamtaki. Nyi wadada acheni hiyo doublestandard
 
Ningekupa ujanja nadhani wahuni mnaita hvyo ila Mimi naita counseling tatizo utakufa na magonjwa ya zinaa zambi utakazochuma tutagawana trust me hii njia najuta kujifunza my friend physiologist ni. Chinese Fulani hivi nlkutana nae Thai yaani mpaka tukakutana ni movie tosha [emoji23] ...sku moja nitaandika uzi safari yangu ya maisha iliyojaa vioja na vituko alinifundisha namna ya ku socialize na kuingia kweny akili ya mtu maana we apo unayo afadhali maana niliamua niwe

Apathy... Maana nlkuwa na ugonjwa wa autism spectrum disorder ..difficult in communicating we acha tu

But Now nipo good nimezchoka papuchi ni bora uwe hvyo zambi ya zinaa ikukimbie na magonjwa pia papuchi iliniachisha pombe na ndo hyohyo imenifanya nimekuwa mlemvi mmoja trust me

Jikubali utampata mtu.. Ndege wafananao huruka pamoja
tupe maujanja mkuu
 
Kijana hakuna kitu rahisi sana kama kutongoza.

1. Jenga urafiki na unayempenda kikawaida kabisa bila kumwonesha nia yoyote ya kutaka mapenzi naye

2. Ukishamteka kiakili kwa kumsoma kisaikolojia tafuta muda utoke naye kwenda mahala pa faragha kama garden au beach afu mnapokula au kunywa jaribu kuwa naye karibu zaidi(romantically) kisha msifie jinsi alivyoumbika na kumuahidi utavyokuwa unamthamini ukibahatika kuwa naye.
3. Akikukubalia mpe uhuru akuahidi lini mtaenda kupeana raha lakini asilimia kubwa wengi humalizaga pale pale wakati wa romance kwa kugusa sehemu hamasishi kihisia kwa Wanawake.
Hapa akishindwa basi tena
 
Ushauri Kama kuna mwana j.f naye kapitia hili janga maana kuna rafiki angu ana hilo gundu muda sasa kaniomba ushauri hajui afanyaje wakati mimi kila siku napata wapya
Pole sana
 
Back
Top Bottom