Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Pana maadili ya ndoa na ya sio ya ndoa
 
Hapo hiyo mada itakuwa imekugusa na umeielewa
 


Hovyo
 
Huna kazi huna biashara huna mtaji unalipa Kodi 500k ghetto limejaa mazaga fridge halikauki makolokolo halafu unasema kitumbua chake sio cheusi?
🤣🤣Kitumbua hakiwi cheusi ukitumia hio logic bac hata mke aliolewa kitumbua chake cheusi... hamna biology ya hivyo hata siku moja.. ni usafi tu na umakini
 
Hongera kwa kuzaliwa wakishua, hawa maskini ndiyo yanawahusu hayo hapo juu.
Umaskini mbaya sana.
 
Hii yote inatokana na mambo ya haki sawa.

Wanawake wana fedha, ajira, wana maamuzi halafu wana kiungo ambacho wanaume tunakitaka always.

Ukijumlisha yote haya mwanamke anakuwa na nguvu isiyodhibitika na ndo tatizo linapoanzia.
 
Kumbe huwa wana kawaida ya kutest namba 11
 
Kama ulivyokuwa hauchungwi na mtu uishie namna Fulani....na wewe hutakiwi kumpangia binadamu mwenzako kuishi namna unayoona we ni sahihi...
Walk your talk. Kama nikichofanya ni tatizo mbona unarudia the same thing unayokemea kwangu? [emoji848]

Kama una amini sina haki ya kumuelekeza mtu mwingine namna ya kuishi maisha yake, then wewe hapa unafanya nini muda huu? [emoji848]

You are being irrelevant.
 
Mbona hao wanawake wa kisasa ni asilimia ndogo sana hata 1% hawafiki, ila uzito mkubwa uko kwenye hao wake zetu wamajumbani ni hatari kuliko hao wa kisasa, omba mungu usitendewe.
Mzee umeongea nini sasa hapo? [emoji23] Mkeo ni mwanamke wa kizamani, ana miaka 60 au zaidi?

Yeye kuwa mkeo haimtoi kwenye kundi la wanawake wa kisasa si ndio baba?
 
Hapa sijui umejibu hoja, ama umejenga vihoja.

Mtu anaishi vipi hilo ni lwake
Hapa sijui umejenga hoja gani?
Bro malaya ni malaya
Na Mwanaume hajawahi kuwa malaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…