stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Kitumbua chake kitakua ni cheusi sana mtu km huyoKuna watu hawana kazi, hawana biashara, ila wanaishi nyumba za Kodi laki 5 monthly, geto Lina kila kitu, na halii njaa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitumbua chake kitakua ni cheusi sana mtu km huyoKuna watu hawana kazi, hawana biashara, ila wanaishi nyumba za Kodi laki 5 monthly, geto Lina kila kitu, na halii njaa..
Pana maadili ya ndoa na ya sio ya ndoa🤣Mnajua nyie watu ndo mnafanya dini ionekane imeundwa na mwanaume kwa ajili ya mwanaume....mara mwanaume akitaka apewe, mara mwanamke asionekane ngozi mwanaume atadisa...dini imetengenezwa kucontrol watu wasio na nguvu including wanawake. Cha kufanya ni kuwekeana mipaka na watu unaowajali na kuwafundisha maadili. Sio unaanza kukamia watu...je we ni bikra? Umeoa bikra? Hutamani wanawake mitandaoni? Sasa mna tofauti Gani. Tatizo wanaume tunapenda kuweka vigezo ambavyo sisi wenyewe hatupendi kufata na tukiambiwa tunakimbilia dini
Hamna kitu kama hicho ndo maana nasema we ishi tu shinda mechi zakoKitumbua chake kitakua ni cheusi sana mtu km huyo
Hapo hiyo mada itakuwa imekugusa na umeielewaUnaandikaga vya maana ila hpa
umeandika rubbish.
Mimi ni mwanamke wa kisasq ila sijawahi kutamani upuuzi hata mmoja kwenye hio list yako.
Huyo unayemuongelea ni malaya mchafu mchafu wa Manzese coz hata malaya classic hawezi kufit hapo.
Heshimuni wanawake nyie viumbe.Kila saa kujifanya mko lab. mmegundua jambo jipya kutuhusu.
Katika maisha ya mwanamke wa kisasa, kuna stage imekuwa introduced inaitwa "Hoeing phase". Hii ni stage ambapo mwanamke anakuwa anataka kuwa huru kufanya yale yote ambayo jamii imekemea mwanamke kufanya au yale yote vitabu vya MUNGU vimepiga marufuku ili ajisikie kuwa ameishi kwa utimilifu maana bila kufanya hivyo maisha hayajakamilika kwake.
Mfano wa mambo yaliyopigwa marufuku na jamii na vitabu vya MUNGU ni
1. Kufanya umalaya yaani kulala na mwanaume zaidi ya m'moja au nje ya mume wa ndoa kwa sababu za kujaribu tu kuwa na mtu tofauti.
2. Kufanya Ukahaba yaani kutumia mwili kujipatia kipato au vitu ambavyo hawezi lipia kwa pesa yake mwenyewe na mara nyingi vinakuwa si vitu vya lazima kuwa navyo ila basi tu mradi kwenda na trend ya wakati husika.
3. Kuweka tattoo mwilini, kuvaa nywele bandia, kutia vipini hata sehemu zilizokatazwa kiimani.
4. Kuvaa nguo za kuachia maumbile yaonekane kwa lengo la kutamanisha wanaume ili wamfuate na kumtaka kingono.
5. Kuzurula mijini na kutoa macho kumangamanga kama binti aliyevunja ungo wiki mbili zilizopita.
6. Kumkana MUNGU kwa matendo na kumkiri shetani kama kiongozi wa nafsi kwa usiri na kwa hiyari.
7. Kuingiliwa na wanaume wengi kwa wakati m'moja baada ya kutumia kilevi cha kutoa aibu.
8. Kutengana na mume kwa muda na kukaa mbali na watoto for "sista hood" moment. Muda huu huwa wanaita vacation. Wanakuwa na kikundi cha marafiki mafenist a.k.a mafreemason wasiojua maana ya ndoa wala heshima ya familia, wanakuwa wasimbe wanaojifanya ni mabinti wa miaka 19 kumbe ni watu wazima wa miaka 27+ au hata 35+.
9. Kuzaa na mtu ambaye anajua kabisa kuwa ni irresponsible kuwa baba wa mtoto mfano, mume wa mtu, kijana ambaye hana appearance ya kuwa baba wa familia a.k.a wasuka rasta, wavaa mlegezo jeans kuchanika, tattoo shingoni, wazee wakushinda spaa akijitengeneza kucha na uso uwe soft kama wa mwanamke, mzee wa kuomba hela , kukaa kwenye apartments za dada, shemeji, au familia, etc, hawa ndio huwa wanaamua kuzaa nao sababu ni very cute, so adorable [emoji7] I want my baby to have your eyes, your lips.
10. Kutest maumbile ya madudu ya wanaume tofauti tofauti kila mwezi ili kugundua ladha wanazosema wanawake wenzake ambazo yeye hajawahi kuonja hata kama itarisk afya yake, ila hatojali.
11. Kutest kuingiliwa kinyume na maumbile sababu wanawake wenzake wamefanya na wanasema ni raha na ina faida kadhaa. (Ushenzi mtupu.)
12. Kucheza na hisia za mwanaume ambaye ana dhamira ya kufanya maisha ya ndoa nae na yupo tayari kwa commitments kwa kumpiga chenga za kitoto,deko zisizo na mbele wala nyuma, kuhairisha miadi kukataa proposals na kadhalika.
Deep down anakuwa anajua mwanaume ana upendo wa kweli ila anachagua kutompa nafasi anamuweka kwenye waiting list ili kwanza amalize "hoe phase" then akisha chakaa atamrejea baadae huko ndipo waongee maswala ya ndoa hapo aidha ana mtoto au watoto wa mwanaume au wanaume wengine, au umeshachakaa mwili hauna tena mvuto na ameshastuka kuwa soko lake (Sexual Market Value) imeanza declining phase na anapoteza attention kwa kasi sana.
13. Kupost picha, video, na captions zinazokwenda na trends za social network bila hata kujali wala kujua madhara yake siku za baadae. Ikiwamo pia na kujoin social networks kwa lengo la kuongeza market ya attention ya wanaume watakao mtazama na ikibidi kuwafanyia vitu wanavyotamania ili awashike akili na kuweza kupata chochote tokea kwao.
Whore phase kwasasa ni stage muhimu kwa wanawake wa kisasa tofauti na mama zetu ambao waliiona kama ni abomination na kwenda kinyume na maadili ingawa miaka hiyo wapo wanawake ambao waliifanya kama kutoroka nyumbani kwenda club, kunywa pombe na vilevi etc mambo ambayo wazazi wakijua wanaweza patwa mshituko wa moyo. Ila sasa whore phase inafanywa kwa namna nyingine kabisa na matendo yake yameongezeka level ya uchafu.
Huna kazi huna biashara huna mtaji unalipa Kodi 500k ghetto limejaa mazaga fridge halikauki makolokolo halafu unasema kitumbua chake sio cheusi?Hamna kitu kama hicho ndo maana nasema we ishi tu shinda mechi zako
Mungu ni mwema na tumuombe azidi kutujaalia afya njema.Uncle mie mzima wa afya, hofu juu yako tu,
Ni muda kweli na nimefurahi kukuona tena Uncle wangu
🤣🤣Kitumbua hakiwi cheusi ukitumia hio logic bac hata mke aliolewa kitumbua chake cheusi... hamna biology ya hivyo hata siku moja.. ni usafi tu na umakiniHuna kazi huna biashara huna mtaji unalipa Kodi 500k ghetto limejaa mazaga fridge halikauki makolokolo halafu unasema kitumbua chake sio cheusi?
Hongera kwa kuzaliwa wakishua, hawa maskini ndiyo yanawahusu hayo hapo juu.Unaandikaga vya maana ila hpa
umeandika rubbish.
Mimi ni mwanamke wa kisasq ila sijawahi kutamani upuuzi hata mmoja kwenye hio list yako.
Huyo unayemuongelea ni malaya mchafu mchafu wa Manzese coz hata malaya classic hawezi kufit hapo.
Heshimuni wanawake nyie viumbe.Kila saa kujifanya mko lab. mmegundua jambo jipya kutuhusu.
Mwambie wapo wanaume hawana kazi wala mtaji wala hutokaa uwaone mahali wakivuja jasho wao wapo kivulini na mikoko masaa yote juma hadi juma wanakula bata.Hamna kitu kama hicho ndo maana nasema we ishi tu shinda mechi zako
Kumbe huwa wana kawaida ya kutest namba 11Katika maisha ya mwanamke wa kisasa, kuna stage imekuwa introduced inaitwa "Hoeing phase". Hii ni stage ambapo mwanamke anakuwa anataka kuwa huru kufanya yale yote ambayo jamii imekemea mwanamke kufanya au yale yote vitabu vya MUNGU vimepiga marufuku ili ajisikie kuwa ameishi kwa utimilifu maana bila kufanya hivyo maisha hayajakamilika kwake.
Mfano wa mambo yaliyopigwa marufuku na jamii na vitabu vya MUNGU ni
1. Kufanya umalaya yaani kulala na mwanaume zaidi ya m'moja au nje ya mume wa ndoa kwa sababu za kujaribu tu kuwa na mtu tofauti.
2. Kufanya Ukahaba yaani kutumia mwili kujipatia kipato au vitu ambavyo hawezi lipia kwa pesa yake mwenyewe na mara nyingi vinakuwa si vitu vya lazima kuwa navyo ila basi tu mradi kwenda na trend ya wakati husika.
3. Kuweka tattoo mwilini, kuvaa nywele bandia, kutia vipini hata sehemu zilizokatazwa kiimani.
4. Kuvaa nguo za kuachia maumbile yaonekane kwa lengo la kutamanisha wanaume ili wamfuate na kumtaka kingono.
5. Kuzurula mijini na kutoa macho kumangamanga kama binti aliyevunja ungo wiki mbili zilizopita.
6. Kumkana MUNGU kwa matendo na kumkiri shetani kama kiongozi wa nafsi kwa usiri na kwa hiyari.
7. Kuingiliwa na wanaume wengi kwa wakati m'moja baada ya kutumia kilevi cha kutoa aibu.
8. Kutengana na mume kwa muda na kukaa mbali na watoto for "sista hood" moment. Muda huu huwa wanaita vacation. Wanakuwa na kikundi cha marafiki mafenist a.k.a mafreemason wasiojua maana ya ndoa wala heshima ya familia, wanakuwa wasimbe wanaojifanya ni mabinti wa miaka 19 kumbe ni watu wazima wa miaka 27+ au hata 35+.
9. Kuzaa na mtu ambaye anajua kabisa kuwa ni irresponsible kuwa baba wa mtoto mfano, mume wa mtu, kijana ambaye hana appearance ya kuwa baba wa familia a.k.a wasuka rasta, wavaa mlegezo jeans kuchanika, tattoo shingoni, wazee wakushinda spaa akijitengeneza kucha na uso uwe soft kama wa mwanamke, mzee wa kuomba hela , kukaa kwenye apartments za dada, shemeji, au familia, etc, hawa ndio huwa wanaamua kuzaa nao sababu ni very cute, so adorable [emoji7] I want my baby to have your eyes, your lips.
10. Kutest maumbile ya madudu ya wanaume tofauti tofauti kila mwezi ili kugundua ladha wanazosema wanawake wenzake ambazo yeye hajawahi kuonja hata kama itarisk afya yake, ila hatojali.
11. Kutest kuingiliwa kinyume na maumbile sababu wanawake wenzake wamefanya na wanasema ni raha na ina faida kadhaa. (Ushenzi mtupu.)
12. Kucheza na hisia za mwanaume ambaye ana dhamira ya kufanya maisha ya ndoa nae na yupo tayari kwa commitments kwa kumpiga chenga za kitoto,deko zisizo na mbele wala nyuma, kuhairisha miadi kukataa proposals na kadhalika.
Deep down anakuwa anajua mwanaume ana upendo wa kweli ila anachagua kutompa nafasi anamuweka kwenye waiting list ili kwanza amalize "hoe phase" then akisha chakaa atamrejea baadae huko ndipo waongee maswala ya ndoa hapo aidha ana mtoto au watoto wa mwanaume au wanaume wengine, au umeshachakaa mwili hauna tena mvuto na ameshastuka kuwa soko lake (Sexual Market Value) imeanza declining phase na anapoteza attention kwa kasi sana.
13. Kupost picha, video, na captions zinazokwenda na trends za social network bila hata kujali wala kujua madhara yake siku za baadae. Ikiwamo pia na kujoin social networks kwa lengo la kuongeza market ya attention ya wanaume watakao mtazama na ikibidi kuwafanyia vitu wanavyotamania ili awashike akili na kuweza kupata chochote tokea kwao.
Whore phase kwasasa ni stage muhimu kwa wanawake wa kisasa tofauti na mama zetu ambao waliiona kama ni abomination na kwenda kinyume na maadili ingawa miaka hiyo wapo wanawake ambao waliifanya kama kutoroka nyumbani kwenda club, kunywa pombe na vilevi etc mambo ambayo wazazi wakijua wanaweza patwa mshituko wa moyo. Ila sasa whore phase inafanywa kwa namna nyingine kabisa na matendo yake yameongezeka level ya uchafu.
Nando maana wengine tunawala sana mitaro hawa viumbe,ili tukizeeka tutulie..Mwanamke akiamua kuifata dunia usishindane nae mwache azunguke nayo
Ni hatari sana kwa sasa kuoa mwanamke ambae ameruka stage atakuja zibukia kwenye ndoa kufanya yale aliyotakiwa kufanya akiwa form two
Walk your talk. Kama nikichofanya ni tatizo mbona unarudia the same thing unayokemea kwangu? [emoji848]Kama ulivyokuwa hauchungwi na mtu uishie namna Fulani....na wewe hutakiwi kumpangia binadamu mwenzako kuishi namna unayoona we ni sahihi...
Mzee umeongea nini sasa hapo? [emoji23] Mkeo ni mwanamke wa kizamani, ana miaka 60 au zaidi?Mbona hao wanawake wa kisasa ni asilimia ndogo sana hata 1% hawafiki, ila uzito mkubwa uko kwenye hao wake zetu wamajumbani ni hatari kuliko hao wa kisasa, omba mungu usitendewe.
Hapa sijui umejibu hoja, ama umejenga vihoja.Sawa kafate bikra hao... Yaani nakuambia ukweli ukisema uchunguze kila mtu anavyoishi hapa duniani ..Kuna watu hawana kazi, hawana biashara, ila wanaishi nyumba za Kodi laki 5 monthly, geto Lina kila kitu, na halii njaa.. so kila mtu ashinde mechi zake Sheria za nchi si hazivunjwi... Ukitaka tuishi kama Iran hapa utaishia kubaka watoto wa miaka 6 na kuwaita wake zako
Hapa sijui umejenga hoja gani?Sawa kafate bikra hao... Yaani nakuambia ukweli ukisema uchunguze kila mtu anavyoishi hapa duniani ..Kuna watu hawana kazi, hawana biashara, ila wanaishi nyumba za Kodi laki 5 monthly, geto Lina kila kitu, na halii njaa.. so kila mtu ashinde mechi zake Sheria za nchi si hazivunjwi... Ukitaka tuishi kama Iran hapa utaishia kubaka watoto wa miaka 6 na kuwaita wake zako