Kila mwanasiasa atakaeichezea nchi hii bendera itapeperushwa nusu mlingoti

Kila mwanasiasa atakaeichezea nchi hii bendera itapeperushwa nusu mlingoti

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Kasema ukweli tu.
Hajamtaja mtu Wala mtoto wa mtu.
Shida ipo Kwa mtoa mada kamtaja Tundu Lisu (Nae Wala hajatajwa)
 
Tunaambiwa tukimaliza kuabudu tutawanyike tukatafute ridhiki, Asiyefanya kazi na asile.
Kuna wanaomini ukiribaliki Taifa la Israeli basi nawewe umebarikiwa na ukililani na wewe umelaanika.

Israeli sasa, wao wako busy kupigana na mabomu na silaha za kisasa, naamini wakiwa vitani wanapigana huku wanamuomba Mungu wanayemuamini.

Baadala ya kulala ndani tukiomba Mungu atuletee chakula, huwa tunamuomba nakuamka kwenda kutafuta ridhiki.

Watanzania tunataka ukombozi kwa maombi baadala ya kuutafuta Kwa nguvu na maarifa aliyotujalia Mwenyezi Mungu, Mungu hawezi kumsaidia mtu dhaifu mwenye kutia huruma baadala ya kuamka na kudai haki yake dhidi ya wanyang'anyi.

Israeli tunayoiita Taifa teule iliwekwa pale kibabe na inaendelea kuwepo pale kwa ubabe, bila ubabe Israeli isingekuwepo pale.

ndani ya viunga vya Benghazi Libya.
 
Hata mimi nasema wacha bendera bendera ipepee ñusu mlingoti tu hakuna jinsi nyingine, nationa pashkuna limeng'ata pamba kudadeq kudadeq
 
Acheni kujipa moja! Mbona yule mwanasiasa nanihii mpaka leo anadunda tu! Huku akiigeuza nchi kuwa kama mpira wa cha ndimu! Yaani mpira usio na sheria zinazo uongoza.
 
Back
Top Bottom