Tunaambiwa tukimaliza kuabudu tutawanyike tukatafute ridhiki, Asiyefanya kazi na asile.
Kuna wanaomini ukiribaliki Taifa la Israeli basi nawewe umebarikiwa na ukililani na wewe umelaanika.
Israeli sasa, wao wako busy kupigana na mabomu na silaha za kisasa, naamini wakiwa vitani wanapigana huku wanamuomba Mungu wanayemuamini.
Baadala ya kulala ndani tukiomba Mungu atuletee chakula, huwa tunamuomba nakuamka kwenda kutafuta ridhiki.
Watanzania tunataka ukombozi kwa maombi baadala ya kuutafuta Kwa nguvu na maarifa aliyotujalia Mwenyezi Mungu, Mungu hawezi kumsaidia mtu dhaifu mwenye kutia huruma baadala ya kuamka na kudai haki yake dhidi ya wanyang'anyi.
Israeli tunayoiita Taifa teule iliwekwa pale kibabe na inaendelea kuwepo pale kwa ubabe, bila ubabe Israeli isingekuwepo pale.
ndani ya viunga vya Benghazi Libya.